Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Den if thieves ???Really....hakuna movie hapo.Den Of Thieves na The Commuter ni noma sana.
Sema ina ending mzuri we mkuu ulitegemea yule dogo wa ice cube ndiyo mastermind wa yale matukioDen if thieves ???Really....hakuna movie hapo.
Ni kweli kabisa unachosema lakini in a scale 1-10 naipa tatu na nusu.Sema ina ending mzuri we mkuu ulitegemea yule dogo wa ice cube ndiyo mastermind wa yale matukio
Yeye yuko bar kuwasoma tu watu
Jurassic worldUmeona ngapi?
Tunasoma sema kwa rate ndogo siyo kama ilivyo movies.Muvi tunaangalia kwa wingi ila kusoma vitabu ni No kubwa!...Shame to us!
Kwa wale movie addicted msiache kupita haka kauzi nitakua natupia muvies cover mupyaaaa..
Kati ya hizi umeona muvi zipi?View attachment 873225View attachment 873226View attachment 873227View attachment 873228View attachment 873229View attachment 873230View attachment 873231View attachment 873237
Nawe mdau Wa hivi vitu? Safi sana no stress hafu hutumii gharama kubwa.sana.Den of thieves, black panther, avengers... ila den of thieves nzur mwisho wake deal lenyewe waliilocheza kaenda faidi dogo wa club na yule jamaaa alikuwa mzee wa mawasiliano.. hata avengers nayo hhahaaha vituko balaa ila n hot sana. Hizo nyingine nitazitafuta ngoja nikuffolow
hebu weka mamuvi yenye ladha ya kina comey yaani ya kijasusi hata ya kuanzia 2017 mpaka sasa makali kabisa kabisa ambayo nitalazimika kuyarudia na kuyarudiaTunasoma sema kwa rate ndogo siyo kama ilivyo movies.