Elections 2010 PICHA: Mwanza Yalipuka - Mkutano wa Slaa

Elections 2010 PICHA: Mwanza Yalipuka - Mkutano wa Slaa

Bandugu mbona hiyo picha mimi siioni, au ndiyo wamechomoa tayari?:whistle:

Duh, hata mimi sizioni hizo picha...

Jamani kwangu haifunguki, sijui hawa jamaa wameshaipiga pini? Natamani kujua yaliyojiri jana huko Ng'wanza.

Hizi picha ni zilezile zilizopita yaani siku zote jamaa anapigwa picha akiwa anaangalia mkono wa kushoto ,mnachakachua lakini muwekeeni chunvi na sukari karibu hapo tarehe mbili ambapo matangazo yatatangazwa rasmi.
slaa_mwanza.jpg

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza na vitongoji vyake, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana kwenye uwanja wa Magomeni, Kirumba.
 
Nimefurahi sana, nimefarijika sana, nimetazama ITV jioni hii, ule umati uliokuwepo Mwanza, ni kama sisimizi!!! Nilitamani TV ile iwe "Giant" screen ili niwaone vizuri wale watu. JAMANI EEEE, UKOMBOZI UMEWADIA, SLAA, SLAA, SLAA!!!! BIG UP ITV, mmebadilika mpo safi, nimeipenda leo.
bye bye bye bye mafisadi.
 
Bahati nzur jana nilikuwepo pale uwanjani, kilchonitia moyo zaid ni pale mgombea ubunge anae mnyima Masha usingizi ezekia wenje alposimama na kuuliza kama vijana waliokuwepo pale walikuwa wamejiandikisha kupiga kura. Sikuamini nilichokiona yani wote uwanja mzima walinyanyua shahada zao za kura.

.
Inapendeza sana. Ccm walifikiri vijana wanatafuta vitambulisho vya uraia kumbe walikuwa wanajimilikisha panga la kuwachinjia baharini. GO SLAA GOOOOÖOOOOO!!!!!
 
Hizi picha ni zilezile zilizopita yaani siku zote jamaa anapigwa picha akiwa anaangalia mkono wa kushoto ,mnachakachua lakini muwekeeni chunvi na sukari karibu hapo tarehe mbili ambapo matangazo yatatangazwa rasmi.
Jaribu kutofautisha..Slaa Mwanza2.jpg
 
Nimefurahi sana, nimefarijika sana, nimetazama ITV jioni hii, ule umati uliokuwepo Mwanza, ni kama sisimizi!!! Nilitamani TV ile iwe "Giant" screen ili niwaone vizuri wale watu. JAMANI EEEE, UKOMBOZI UMEWADIA, SLAA, SLAA, SLAA!!!! BIG UP ITV, mmebadilika mpo safi, nimeipenda leo.
bye bye bye bye mafisadi.
Hata TBC wameonyesha lakini walitaja karatu picha wakaonyesha za mwanza sijui waliimanisha nini...
 
Hata TBC wameonyesha lakini walitaja karatu picha wakaonyesha za mwanza sijui waliimanisha nini...

wamechanganyikiwa hawajui waonyesha kipi waache kipi

abiziani.......................................
 
Jamani nadhani ushindi tayari, mwanza,shinyanga,iringa,mbeya,kigoma,Arusha,Dar,manyara,kilimanjaro na loliondo pia wamasai wanamuimba slaa 2 cuf wamejikita tanga,lindi,mtwara,newala za jk zipo wapi kura maana maeneo yaliyobaki idadi ya wapiga kura ni ndogo pia
 
Mapambano yanaendelea mpaka Dr Slaa anaingia Ikulu hasa hizi dakika za majeruhi ni mbaya sana kama ulisha cheza mpira hizi ni dakika 75 na tunaongoza kwa goli 9 kwa 3..hivyo ni kulinda magoli yetu tuwemakini wapenda maendeleo...
 
Hakuna ubishi, moto unawaka. Jamaa hawa wanatetemeka kila saa, wanaogopa kupokea au kusoma hata magazeti au kuangalia Runinga inapokuja habari ikianza na ..."MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA DEMOKRAS.....," Jamaa wanachachawa! Hata ktk TV wanaogopa? Na kwa mapigo haya, kuanzia na mshtuko wa Mwanza, mlipuko ni hapo Dr Slaa atakapotua Dar...mitaa sijui itafungwa!!

Tazama Mwanza - Ukombozi unavyowadia! :yield:

!View attachment 15627 View attachment 15628
Bye bye JK...WALA USIJISUMBUE KWENDA TENA MWANZA KUPOOZA MAMBO!
WIMBI HILI NI NGUVU YA MUNGU...UKIZUIA UNAJISUMBUA UTADONDOKA TENA BUURE!
 
Nasubri Tanga kwanza! najuakuna uhondo aina yake Tanga, jiji la Tanga lazima lilipuke.
 
Mambo ni kusaidiana, mimi natoa ushauri kwa January Makamba aanze kuandaa hotuba ya JK kuliaga Taifa ,sasa hivi haina dawa CCM inakwenda na maji.Namtakia mapumziko mema Rais mstaaf wa awamu ya nne JMK, pamoja na kuboronga amemaliza salama.
 
Back
Top Bottom