Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kumbe japo yalikuwa yamepiga hatua lakini yalikuwa majinga kiwango cha lami! Una Elimu kuliko wote, una imani, una tech na etc then anakuja kwako mmatumbi kutoka huko Saudi/Yemeni anavaa magome ya miti anakutawala na kukufyekelea mbali? Nimewadharau wamisiri wa mchongoWao ndio the source Sema wagiriki walivamia hapo wakaangusha tawala zao. Then wakaja Roman wakabeba kila kitu tamaduni, Imani, elimu etc then wakaja ARABS wakafuta kabisa kizazi kilichobaki. The remaining wako upper Egypt na wengine walikimbilia Sudan.
Ukipata nafasi katembelee Egypt utapata madini mengi sana pale.
Hamna kitu mbaya kama kukariri, msabato anasoma biblia gani kama sio hiyo hiyo ya mkatoliki? Wote ni wale wale wanaoamini mafundisho ya kuwa Yesu ni mwana wa Mungu ila wao sio, eti Mungu ni wa Israel, cha ajabu wanakula Tanzania, wanalala Tanzania…. Imani za kitumwa…. Black man nikachukue nini kwa Ellen White? Sipo huko…usinifananishe na mazombiila wasabato sijui kwanini hamkosi cha kukosoa kuhusu ukatoliki na mambo yake. halafu wenyewe ukatoliki wala hauna time na nyinyi.
Sasa mrumi wa kwa moromboo analia nn?Pole yao sana wafiwa wote, alafu ni wazungu watupu...
Wanaunganishwa na biblia ndugu, au msabato anasoma Koran nn!Msabato na mkatoliki, wapi na wapi ?
Hahahaha msabatooo!!Nina ujumbe mzito kuhusu kofia za mapapa na maaskofu.... napenda kutopigwa ban humu hivyo mdomo koma.
Someni sana kitabu cha Ufunuo
Dagon fish worshippers…. Mtaabudu mpaka mashetani bila kujua… dini ya kweli ni kuotesha na kutunza miti. Chanzo cha uhai.sisi tunajua rangi kuu, huo ujanja ujanja wa kiingereza kuita majina mengi tofauti wakati kimsingi unachoona ni kilekile nyekundu ubaki hukohuko uinglishini.
Hapa kwenye Kukopi Misri ni hisia zako tu.
Kifo tu kilipaswa kutukumbusha sio kuonyeshana maiti.Ni mzuri sana, unakukumbusha kuwa leo yako ni sasa, ya baadae ni majaliwa… tunajisahau sana lakini..
Uhuru wa kuabudu, endelea na miti yakoDagon fish worshippers…. Mtaabudu mpaka mashetani bila kujua… dini ya kweli ni kuotesha na kutunza miti. Chanzo cha uhai.
Bible imeokoteza wapi tuvitabu tulitowekwa kwenye old then New Testaments? Kila mwalimu ana mwalimu wake kabla.Jamaa ameokoteza vi maneno vyake vya uongo na ukweli ili ku justify points zake.
Naiotesha kama yote maana hiyo ndio chanzo za pumzi, maji, chakula, kivuli, mpaka hilo sanduku la huyo mtakatifu wenu… mje mkate mtengeneze karatasi muweke maandishi yenu mseme ni maandishi ya Mungu, hamna tofauti na hekaya za ngosha Shigongo.Uhuru wa kuabudu, endelea na miti yako
Kwanini usiabudu sasa jua lililo mungu wa hiyo miti yako? Bila jua mti haupati chakula na unakufa...Naiotesha kama yote maana hiyo ndio chanzo za pumzi, maji, chakula, kivuli, mpaka hilo sanduku la huyo mtakatifu wenu… mje mkate mtengeneze karatasi muweke maandishi yenu mseme ni maandishi ya Mungu, hamna tofauti na hekaya za ngosha Shigongo.
Mungu hashiki peni kuunda herufi, anaumba visivyo umbika… na akili zako zote za kurusha (sijui kwa nini waswahili tunaita ndege - bird. Lugha bado inapwaya hii) airplane… hakuna awezaye kutengeneza ndege akaruka… masomo yenu yanagonga ukuta….
HahahahHahahaha msabatooo!!
Umesahau kusema na kitabu Cha Danieli kuhusu pembe ndogo na pia Cha mungu wenu Hellen Gould white
Hahahaha
Wakiongozwa na wale Wasabato masalia waliopiga Kambi JKN wakisubiri ndege iwapeleke kuhubiri Ulaya.Hahahah
Wasabato bado hawwjitambui
Wewe utakuwa yule kiongozi wa Wasabato masalia.Naiotesha kama yote maana hiyo ndio chanzo za pumzi, maji, chakula, kivuli, mpaka hilo sanduku la huyo mtakatifu wenu… mje mkate mtengeneze karatasi muweke maandishi yenu mseme ni maandishi ya Mungu, hamna tofauti na hekaya za ngosha Shigongo.
Mungu hashiki peni kuunda herufi, anaumba visivyo umbika… na akili zako zote za kurusha (sijui kwa nini waswahili tunaita ndege - bird. Lugha bado inapwaya hii) airplane… hakuna awezaye kutengeneza ndege akaruka… masomo yenu yanagonga ukuta….
Kufa ni kufa tuMapapa hawaozi kutokana na namna miili inavyozikwa. Huzikwa ndani ya sanduku la Zink cast hivyo huwa haipitishi hewa hivyo mwili hauwezi kuoza na mara nyingine hata rangi ya ngozi haibadiliki kwa miaka mingi
Tafsiri batili kutoka kwa vibwengo wa kahaba hellen g white.Nina ujumbe mzito kuhusu kofia za mapapa na maaskofu.... napenda kutopigwa ban humu hivyo mdomo koma.
Someni sana kitabu cha Ufunuo
Ndio kusema ibada zenu zinatumia rugha 1? Mfano kagara wanatumia kihaya wewe makonde utafanyaje?Raha ya kuwa mkatoliki ni kwamba unaweza kusali kwenye Kanisa lolote la Kikatoliki duniani.