Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hapo ulipoandika Rugha, umemaanisha nini ?Ndio kusema ibada zenu zinatumia rugha 1? Mfano kagara wanatumia kihaya wewe makonde utafanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ulipoandika Rugha, umemaanisha nini ?Ndio kusema ibada zenu zinatumia rugha 1? Mfano kagara wanatumia kihaya wewe makonde utafanyaje?
Kagara ipo nchi gani ?Ndio kusema ibada zenu zinatumia rugha 1? Mfano kagara wanatumia kihaya wewe makonde utafanyaje?
Kuna kitu kinaitwa Kanuni ya Misa kama unaijua utaweza kushiriki bila hata kujua lugha inayotumikaNdio kusema ibada zenu zinatumia rugha 1? Mfano kagara wanatumia kihaya wewe makonde utafanyaje?
SijamsomaTafsiri batili kutoka kwa vibwengo wa kahaba hellen g white.
Wanata taabu sana wale.Wakiongozwa na wale Wasabato masalia waliopiga Kambi JKN wakisubiri ndege iwapeleke kuhubiri Ulaya.
Bila shaka wewe sio wa utamaduni huo.Utamaduni wa kufanya maonyesho ya maiti siupendi.
Inategemea na umaarufu ulionao wewe sio mali ya familia ni ya jamii au taifa,thus viongozi wakubwa uonyeshwaUtamaduni wa kufanya maonyesho ya maiti siupendi.
Kama simba na yangaMsabato na mkatoliki, wapi na wapi ?
Jua nimewaachia warumi waliabudu.Kwanini usiabudu sasa jua lililo mungu wa hiyo miti yako? Bila jua mti haupati chakula na unakufa...
Namna hivyo WA dharau Dunia nzima. Waulize why now marekani iko juu Yao wakati zamani Roma, Greece, British walikuwa majabali WA kutisha but now wanamuogopa marekani. Tawala zinakuja zinaondoka. Ussr lilikuwa jini. Germany lilikuwa jini. But now si kihivyo. Egypt kuanguka its more biblical.....Basi kumbe japo yalikuwa yamepiga hatua lakini yalikuwa majinga kiwango cha lami! Una Elimu kuliko wote, una imani, una tech na etc then anakuja kwako mmatumbi kutoka huko Saudi/Yemeni anavaa magome ya miti anakutawala na kukufyekelea mbali? Nimewadharau wamisiri wa mchongo