Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Mkuu, hiyo ni speed ya kufa kisiasa. Hakuna anayetishika. Tena mmeturahisishia sana. Tunaua wote kwa jiwe moja

Weweseko mlilopata juu ya mkakati huu lazima mtaanza kupigana nyie kwa nyie kabla ya 2015 na hapo sisi tutapaita patamu tunawafutilia mbali kizazi cha nyoka
 
Tulia dawa iingie vizuri...ccm ni dawa ya jino

Nasikia lumumba pamekuwa pachungu hahaha, vipi bosi wako mwanadiwani mkono wake unaendeleaje? Namuona anachungulia huu UZI
 
itv wako live sasa, na mzee ALFRED MASAKO YUKO HEWANI LAIVU
 
Makamanda nani ana gharamia huu mkutano?
 
salumu mwalimu, anaendelea ,
daah nyomi iko kubwaaa sanaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…