Wameanza ule mchezo wao wa kukata umeme huku Arusha
Shetani anakemewaHadi sasa ccm imetajwa mara mia
safi!! mtujuze....mlisema mtarusha ITV nimekaa kwangu hapa toka asubuhi kusubiria hyo LIVE, hadi sasa saa 14:25 bado sijaona hiyo LIVE...
KUNA BANGO LIMEPITA LA UKAWA NI HATARI
BORA KUISHI NA MKOLONI KULIKO CCM
nimecheka sana aise![/QUOTE
Ngoja na mimi nicheke hahaha hahaha hahaha hahaha