Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Kumbe haya ni maonyesho tu kwenye tv. Tundu lissu aliongea wakati tv hazijaanza kurusha matangazo, sasa anarudia tena hotuba
 
Mtatufahamisha walichokubaliana mimi naangalia IPL saizi kuna Tottenham Hotspur na Newcastle United, baadae kuna Mancherster United na Chelsea.
 
Ukawa mapimbi kweli! Wameimba 'Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wote, hekima, umoja na amani, Mungu uwabariki ....lakini baada ya muda utayasikia yakiwatukana tena!!!

Hawo nao unawo wafikiria wako kwenye kundi la viongozi? Mara ya mwisho kumbukumbu zinaniambia mafisadi viongozi hawako kwenye listi ya viongozi
 
Maalim Seif anataka kusumbua watu tu,akitoka hapo lazima akimbizwe hospital kushusha sukari.
 
Huyu shehk naye mbona anachanganya mafesa, mahakama ya kadhi ya nini kwa wakati huu.
 
Kumbe haya ni maonyesho tu kwenye tv. Tundu lissu aliongea wakati tv hazijaanza kurusha matangazo, sasa anarudia tena hotuba

ifwero nasikia nanyie kwakushirikiana na act tanzania,tlp na udp mnaandaa mikutano ya pamoja kujibu mapigo ya ukawa
 
Lissua anaongea sasa
anasema katiba iliyopendekezwa dodoma na wachakachuzi hakuna utofauti wowote na hii tuliyonayo

anasema kuna haki zimependekezwa, wavuvi, wanawake, watoto, wazeee,,,,, kuna haki zimetajwa
haki zootee zilizowekwa ni uongo mtupuuuuu, maana haki zoote za makundi hayo,
watu wa ccm wachakachuaji, wanajidai kuwa haki za watoto ni haki zao., wanasema kila mtoto anakuwa na haki yakupata elimu ya primary na elimu yajuu, anasema hili lipo tangu upeee
anasema eti kuna haki ya elimu ya juuu, anasema wameweka eti fursa, anasema fursa si haki, maana kama huna pesa mtoto wkao hatosoma...
 
Fursa si haki...Fursa ni hele...Katiba ya lukuvi na Sitta ni Changa la macho..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…