Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Makamu wa rais znz wa serikali iliyopo madarakani hivi sasa, anasema katiba haifai ila cha ajabu ndio makam wa rais...utam wa madaraka na madlahi
anasema waznz walikataa mfumo wa vyama vingi
 
Mimi nasema Katiba ya Chenge na Sitta pahala pake ni kwenye tanuru la moto...
 
waheshimiwaaa watanzania
sisi wazanzibar tunasema katiba ya chenge na sitta ni ya kuweka katika dustbin...
Wazanzibar na watanganyika walikataaa mfumo wa serikali 2??

Mfumo wa serikali mbili watautumia wenyewe sita, na chenge....
 
Maalim Seifu :Rasimu ya katiba ya Sitta haikubaliki na haifai ,inatakiwa itupwe katika debe la taka.Rasimu ya Sitta hautuitaki /haikubaliki na inanuka tupa kule.
 
Mia mia
 

Attachments

  • 1414331865902.jpg
    77.7 KB · Views: 1,549
katiba ya chenge na sitta ni ya kutiwa katika debe la taka maalin seif
 
Seif anasema watz walikataa mfumo wa vyam vingi, anarudia mara tatu neno hilo,sijui anataka kuwaambia nn watz hapa
 
T ni sheeeedah simba wa nyika anakandamiza watu wamekuwa wengi pakupita hamna
 
Ninashukuru mungu kingamuzi changu hakina channel ya ITV.Ni mbaya sana watoto wakisikia uongo wa Slaa na matusi ya Jussa
 
Wataamu wa mahesabu ya Statistics wanasema watu wanakadiriwa kufika hapo jangwani ni 300,000
 
ninachokiona hapa ni kwamba hawa ukawa wanapinga katiba mpya kwa hoja nyepesi sana
 
Makamu wa rais znz wa serikali iliyopo madarakani hivi sasa, anasema katiba haifai ila cha ajabu ndio makam wa rais...utam wa madaraka na madlahi
anasema waznz walikataa mfumo wa vyama vingi

utaelewa tu.....
 
Maalim Seif: Katiba ya Sita na Chenge mahala pake zanzibar ni kwenye pipa la takataka. Anasema koti la muungano lilovaliwa na Tanganyika Limeongezewa urefua
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…