Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
mbona mimi kwangu kuna sauti za mkwaruzo? Ni kwangu tu au na wengine...

mkuu pole si kwako tu, itv leo mitambo yao leo imekwama sana katika sauti, yaani kama kuna upepo hivi....polesana
 
Sasa anaingia prof.wa ukweli Lipumba .anasema umoja wa katiba ya wananchi ndiyo umoja wa kupambana na umaskini naradhi. Anasema wamenyofoa mambo muhimu kwenye rasimu kwa sababu wana account nje ya nchi wakiuza nchi kwa bei pouwa.
 
Mafisadi wa CCM wana fedha nje ya nchi ndiyo maana wanafuta maadili.
 
watanzania tuwe makini na hilo neno wanalolirudia sana akina mbowe eti chadema ni mpango wa mungu wakati wanafadhiliwa na Christian Democratic Union ujerumani.Nahofia wanataka kuunda dola ya kikristo.
Propaganda hizo ndizo zinadharaulisha chama chenu.

Kwani Waislamu hawana Mungu? Kwani Mungu anapenda ubabaishwaji unaofanywa na CCM kudanganya Watanzania? Kwani Mungu anapenda ULEVI HUU WA MADARAKA ambao uko dhahiri kwa viongozi wa CCM?

Mnadhani mkihusisha mambo ya dini ndio mnafanikiwa. Hizi ni mbinu ya kizamani sana (primitive tactics to say the least).
 
Khaa!! Tatatibu cdm wameanza kujitwalia ukawa. Dr Mbowe kaanza kudai salamu ya chadema itumike ukawa. Angalau mh Mbatia amekuws smart kuvuruga protokali ya mwalim kwa kulazimisha Dr Mbowe azungumze kabla ya prof
 
Inakadiriwa watu walihudhuria mkutano huu wa Kihistoria umehudhuriwa na wananchi wapatao 500,000
 
Mbowe: "Kikwete nakuomba ukapumzike kwa kuwa umekuwa ni Rais wa majanga kuliko marais wote, umekiuka makubaliano yetu"
 
Khaa!! Tatatibu cdm wameanza kujitwalia ukawa. Dr Mbowe kaanza kudai salamu ya chadema itumike ukawa. Angalau mh Mbatia amekuws smart kuvuruga protokali ya mwalim kwa kulazimisha Dr Mbowe azungumze kabla ya prof

Amekukuna eeh!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…