Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
UKAWA ndo kwanza imezaliwa na afya njema...Subirini moto uwawakie..

Usidanganye watu wewe, hukuwepo nadhani ulikuwa bado unafungwa nepi wakati mrema alipokuwa anasukumwa na gari hapo jangwani palikuwa hapatoshi.Na yeye alikopa mikopo mikubwamikubwa kama anavyokopa mbowe, alichapisha bendera kila kijiji na kanga na vitambaa pikipiki na vitu chungumzima! na hakupata huo urais! sembuse hawa? kwanza hapo wanapotumia ruzuku kwa pamoja ishu itakuja nani alipe madeni! na pia huo umati wote hao sio wafuasi wenu we ngojea sanduku la kura kama hukuona mtu mzima anaangua kilio! Nchi haijaribiwi au kujifunzia kuongoza.
 
"Vijana mnazeeka kabla ya wakati wenu kwa sababu ya BAKORA za CCM "
hayo maneno yamesemwa na lipumba leo jangwani, na mm nakubaliana naye, hasa pale ninapowaona wanaopiga kelele na jezi za kijani ni vijana waliochoka, hawajielewi, wanapiga kelele ili wenzao waneemeke,
TAFAKARI, CHUKUA HATUA
 
Seriously...
Kumsikiliza Mbowe mtu unakuwa unasikiliza authority...
 
mkutano umemalizika bila ya viongozi wa ukawa kuwa na muelekeo ulio sawia
 
Ccm nyng'anyang'a kifo cha mende! Nimeipenda sana hii kauli ya Prof. Lipumba
 
Mbowe bado anakizunguzungu cha Oman

CCM ni chama cha mafisadi na genge la wahuni maana wanaishi kwa ujanja ujanja ambao ni kinyume na katiba na sheria za nchi hii ,rudi katika mada Mkutano ni Muunganiko wa umoja wa wanachi UKAWA katika kuwaletea wanachi maendeleo na sio propaganga.
 
Prof. Ibrahim Lipumba: Haikuwa bahati mbaya kwa Chenge kuwa mwenyekiti wa kamati ya Uandishi, Mzee wa Fijisenti ameinyofoa kwa kuwa ilikuwa inambana yeye mwenyewe.

Prof. Ibrahim Lipumba: Kama Vijana wanahitaji kuondokana na umaskini, rasilimali ya nchi hii itumike kwa manufaa ya wananchi, waikatae rasimu inayopendekezwa.

Prof. Ibrahim Lipumba: Tumeungana pamoja na wote tunajua adui wa nchii ni mafisadi wa CCM kwa kushirikiana na siyo kuangushana watamuondoa adui huyo.

Prof. Ibrahim Lipumba: Vijana wa Tanzania wanazeeka kabla ya wakati wao kwa sababu ya bakora za CCM, wawe tayari kwa lolote katika kudai haki za nchi yetu.

Prof. Ibrahim Lipumba: Tusipoteze muda wa kupingana sisi wenyewe bali tuweke msimamo wa pamoja ili kuing'oa CCM.

Prof. Ibrahim Lipumba: Tunataka mabadiliko ya kweli na mabadiliko yatapatikana katika umoja wetu.
 
Vipi nahizi coster zinazo somba watu Huku Kongowe pwani mmekodisha shilling ngapi
Nimeziona huku ubungo zinasomba Watu. Naskia Lipumba, Mbowe na mbatia na makaidi wanapeana hamasa kuwa wasigombane AMA kumbe wanajuana eh! Duh kamanda Hapo ni Maalim Seif ambaye anawachezea Kati wote upinzani na CCM. Huku ana faidi vya ccm kule anafuatilia vya wazungu Kama kutakuwa na maslah POWa!wajinga ndio waliwao huku Anataka na kule anataka . Ha haha hii kweli bongo
 
Prof. Anasema tuwe na mtandao nchi nzima ili kuleta mabadiriko nchi nzima. Amesema vijana wanzeeka vibaya kwa sababu ya ccm. Kawaomba vijana wafanye mazoezi kukabiliana na lolote ndani ya nchi yetu.

Ana utani na Dr Slaa
 
Ngoma ni serikali Tatu Bila!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…