Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Vipi nahizi coster zinazo somba watu Huku Kongowe pwani mmekodisha shilling ngapi

Ona hii panya imepotea shimo imeingia shimo la Nyoka...!!!

We pepo toka hapa sio Lumumba hapa sawa.. hatuna utamaduni wa kusomba watu kwa mabas wala Malori ukiona hivyo jua watu wamejitolea wenyewe hawajashawishiwa na mtu wala kutishwa kama Mnavyofanya ninyi ukoo wa Panya

Haya tokaaaaa

BACK TANGANYIKA
 
Mimi ni mgeni hapa Dar, nipo kituo cha daladala cha Mbezi mwisho, nielekezeni jinsi ya kufika hapo viwanjani nikashuhudie kwa macho yangu Tanganyika yangu ikirejea! Msaada tafadhari!
 
Mimi ni mgeni hapa Dar, nipo kituo cha daladala cha Mbezi mwisho, nielekezeni jinsi ya kufika hapo viwanjani nikashuhudie kwa macho yangu Tanganyika yangu ikirejea! Msaada tafadhari!

Panda bus lilioandikwa la Mkata via Chalinze,mwambie konda akushushe Mbwewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…