Yaani CCM ikiwagaragaza hawa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa then uchaguzi mkuu basi ndio utakuwa mwisho wa upinzani Tanzania!
Na kwa mipango iliyopo sasa cha moto watakiona serikali za mitaa kwani hawataamini macho Yao! Kama hapa Iramba hatutaki kuona hata mjumbe mmoja anatoka nje ya CCM
Mi nashambulia Shelui, Mgongo, ntwike na Mgongo na tarafa ya Kisiriri yupo mkuu chemakalla, Ndago yupo Msengi na Kinampanda yupo comrade Lyanga akisaidiana na wankembeta na Winjuka!
Kila alipo Mwana CCM popote pale ahakikishe hawa UKAWA tunawaadabisha barabara! Acha wapige meneno sie twendeni vijijini