Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Khaa!! Leo nitauza maji baridi na askrim kwelikweli.. viva ukawa
 
Kama alivyoandikwa kwamba mtawaseta na kuwakanyaga simba na mwanasinba, joka na mwanajoka kwa miguu yenu, basi leo ndio siku ya unabii kutimia ambapo UKAWA watamseta simba na mwanajoka CCM, no more turning back,

Solidarity forever.
 
Hili si ndio lile chakavu ambalo mwenyekiti alilouzia chama kwa tsh 250,000,000.

Yah, ndo hilo, likipiga honi tu achia mbali ule wimbo wa Tanzania...Tanzania.......People's......... weweeeeeee

Migamba na washirika wao mimavi ya mrenda renda inawabana

BACK TANGANYIKA
 
Tunapita Bibi Titi - Mnazi mmoja
 
Nipo live hapa nafuatilia hii mkutano through Jamii Forums.
Lete vitu mkuu.
 
Mimi ni mgeni hapa Dar, nipo kituo cha daladala cha Mbezi mwisho, nielekezeni jinsi ya kufika hapo viwanjani nikashuhudie kwa macho yangu Tanganyika yangu ikirejea! Msaada tafadhari!

Kamanda panda magari yanayoenda kariakoo then waambie wakushushe jangwani au kama magari ya kariakoo hamna panda magari ya ubungu na ukifika ubungo panda magari ya kariakoo.
 
Coaster wamekuwa ccm wao ndiyo wanatumia watumia kodi zetu kubeba watu wai jangwani ujionee mwenyewe tofauti ya ukawa na ccm watu wanavyo miminika wenyewe
 
ITV wataanza kurusha matangazo Mbowe na Dr Slaa watapofika kwa kuwa hawa ndio wenye mkutano
 
Aluta continua viongozi wakuu wa upinzani. Welcone wakuu wangu Ritz, Msalani, Rejao kama upo, Chama, Simiyu Yetu, Mamndenyi, FaizaFoxy, Chris Lukosi, ZeMarcopolo, Nape Mnauye, na wote wenye mapenzi mema na chama chao marehemu. Mmetutesa sana Watanzania kwa miaka 50 mnachumia tumbo zenu na watoto wenu na ndugu kwa kuwaingiza kila miradi mikubwa ya wawekezaji. Siku iko mtaikimbia kama Gadafi.
 
Hili si ndio lile chakavu ambalo mwenyekiti alilouzia chama kwa tsh 250,000,000.
Leo utaongea yote, Mwenyekiti wenu kashachoka kuongoza nchi.... wewe unazungukazunguka na pampas bila kujua ulipo

 
Panda bus lilioandikwa la Mkata via Chalinze,mwambie konda akushushe Mbwewe

He he he ha ha ha hana badoooo mpaka kieleweke. MoU ni leo. Hata ukimpoteza tutamwakulisha.
 
Ningekuwepo Dar, na mimi ningewalipia angalao trip moja wanapinduzi hawa wanaoelekea jangwani. Mageuzi yanahitajika na kila mtanzania, na gharama tutazibeba wote kwa kila mmoja kadiri alivyojaliwa na Mungu. Makamanda, mtu akipungukiwa na nauli msaidieni. Ukiona jirani yako ana kiu ya maji lakini hana uwezo wa kununua, uwezo ukikuruhusu mlipie.

Sisi wote ni watanzania, wote tunadhulumika na kuteseka katika utumwa huu wa CCM. Ni muhimu kushikamana kwa upendo mkubwa dhidi ya dhulumati wetu CCM.

Nimeuliza hapa konda kasema ni shilingi 100000 kuwapeleka tu huko jangwani wakitaka na kurudi tsh 250000
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…