DUa la kuku! !!!Ndivyo mnavyojidanganya. Endeleeni kuota tu. Hapo mungu keshawapumbaza msubiri tu mwisho wenu. Nakumbuka hata marehemu Gadafi wale waasi walipokuwa wanaikaribia Ikulu yake alikuwa anawabeza na kuwaita panya. Lakini alikuja kushtuka ikiwa too late na mwisho wake ikawa kifo. Hicho ndicho kitakachowatokea CCM sababu mbali na ishara zote za kukataliwa kila mahali huku upepo mzuri ukivuma upande wa UKAWA bado hamuamini.Ngoma ya watoto yaikeshi hawa hawachelewi kuparuana na kila mtu kukimbia kivyake
Ngoma ya watoto haikeshi
UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU WEWE KIBARAKA..Uchambuzi hafifu sana huu. Katika chama, siku zote huzungumziwa taasisi na siyo mtu. Sidhani kama kuna mtu yupo kwenye chama chochote kile kwa sababu mtu fulani ni kiongozi au ni mwanachama wa chama hicho. Kama yupo mtu wa namna hiyo, basi huyo ni mwendawazimu. Kuanza kumhusisha hapo Zito ni upungufu wa uchambuzi na pengine upungufu wa upeo na uelewa pia.
Ninavyoviona hivi vyama vya siasa kwa sasa, hasa CHADEMA, CUF na ccm, kuondoka au kuondolewa kwa kiongozi mmoja hakuwezi kuwa na athari yoyote ya kuonekana kwa chama. Kuondoka kwa Hamad Rashid hakujaiathiri chochote CUF, kuondoka kwa Zitto hakujaiathiri chochote CHADEMA (na huenda kumeiimarisha zaidi CHADEMA maana viongozi wote kwa sasa wanaongea kwa lugha moja - jambo ambalo ni muhimu sana kwa uongozi wa chama).
Kinachoweza kuathiri chama ni kuparanganyika kwa uongozi lakini siyo kuondolewa kwa kiongozi mmoja. Bahati mbaya sana fikra kama za kwenu ndizo zilizomharibu Zitto kwa kudhania kuwa alikuwa ndiyo msingi wa chama. Jambo ambalo halikuwa kweli. Uongozi katika chama ni muhimu sana lakini kiongozi mmoja mmoja hawezi kuwa ni nguvu ya chama chochote kile.
Tena Zitto ajihadhari sana maana huenda 2015 akaukosa hata ubunge maana 2010 alishinda kwa taabu sana ukimlinganisha na wabunge wenzake ndani ya CHADEMA. Kama alishindwa kuupata umuhimu kwa wapiga kura wake 2010, anawezaje kuwa muhimu kuliko timu yote ya uongozi ndani ya CHADEMA? Very poor analysis.
Ukitizama hizi picha kwa umakini, umati huu 95% ni vijana wa kiume kati ya miaka 25 na 35, 4% ni wanawake wa umri uleule lakini wamevaa skaf za CUF hivo si wana cdm na 1% ni wazee, lakini ukiangalia idadi ya watu Tanzania 60% ni wanawake 45% ni vijana kati ya miaka 25 hadi 35, hivyo waliohudhuria ni 24% ya watanzania ndo washabiki wa hizi siasa.
Je inakuwaje rika hili ndo limepata mwitikio? hawa wengi ni vijana wasiokuwa na ajira za uhakika kutokana na kutopata elimu stahiki na stadi za kazi, je kwanini vijana wa umri wa 16 hadi 24 hawako katika kundi hili ni kwa sababu wako mashuleni na vyuoni na waliomaliza wamepatiwa ajira hasa za ualimu jeshi na viwandani. Kundi hili halikubaliki katika ajira rasmi kwani mtakubaliana nami kundi hili ni watukutu wapiga videbe na wachora dili,
je nikweli? hapana wengi wao wanamajukumu ya kifamilia hivyo vipato vyao kwa maana ya mishahara na posho hazitoshi kuendesha familia ukizingatia bei ya sembe mchele sukari na mkaa vinapanda kila siku. Wanawake katika kundi hili hawamo kwani wengi wao wako kwenye ndoa na wanamajukumu ya kulea familia ila wako pamoja na waume zao kwani mahangaiko yao wanayaona dhahiri.
Mwitikio huu upo mijini zaidi hasa katika miji ya Dar Mwanza Arusha na Mbeya hii ni kutokana na kukosekana miradi yenye kuajiri vijana wengi, miradi mikubwa kama ya nssf na ppf inalenga kuajiri watu wachache na wafaidikaji wakubwa wamekuwa wachina. Mtakubaliana nami kwa kipindi chote cha JK hakuna mradi uliojiri vijana elfu 3 kwa mpigo, tofauti na wakati wa mkapa migodi ya dhahabu pekee iliajiri vijana zaidi ya elfu 15 kwa mpigo.
Kimsingi kwa miaka kumi tumekalia porojo zaidi huku fedha nyingi zikitumika katika mambo yasiyokuwa na tija kama tume ya warioba na bunge la katiba. kumkirimu Obama ziara za kuvishwa majoho na ujenzi wa bomba la gesi.
Vipi nahizi coster zinazo somba watu Huku Kongowe pwani mmekodisha shilling ngapi
ukiwa muongo usiwe msahaulifu wewe kibaraka..
1. Niambie uchaguzi wa 2010 kama sio slaa kuteuliwa na chama kupeperusha bendera katika kinyan'ganyiro cha uraisi tungepata wabunge wengi wa chadema??
2.hivi mtu kama sugu,wenye,mnyika na wavuta bangi wengine wangepata wapi ubunge bila slaa????
3. Waambie cuf wamfukuze seif sharif hamad then uje na huu utumbo wako hapa
taasisi huundwa na watu na watu ndio hujenga taswira ya taasisi.
Ni kama ccm ilivyo na taswira ya kifisadi kwa sababu ya baadhi ya wanachama wake kuwa mafisadi
ni kama cuf ilivyo na taswira ya kiarabu/uislamu na ugaidi kwa sababu viongozi wake wana hulka hizo
na ndio maana chadema ina taswira ya kichaga na kikristo kwa sababu viongozi wake wana hulka hizo.
Nitakuwa nimekuudhi ila nina hulka ya kuwaambia wajinga wote ukweli bila kujali ukweli huo unamuumiza kiasi gani
kwa chadema hii ya mbowe na slaa mtasubiri sana.hadi hapo watakapozaliwa viongozi wasio na uroho wa madaraka pole sana lakini ndivyo ilivyo.dua la kuku! !!!ndivyo mnavyojidanganya. Endeleeni kuota tu. Hapo mungu keshawapumbaza msubiri tu mwisho wenu. Nakumbuka hata marehemu gadafi wale waasi walipokuwa wanaikaribia ikulu yake alikuwa anawabeza na kuwaita panya. Lakini alikuja kushtuka ikiwa too late na mwisho wake ikawa kifo. Hicho ndicho kitakachowatokea ccm sababu mbali na ishara zote za kukataliwa kila mahali huku upepo mzuri ukivuma upande wa ukawa bado hamuamini.
UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU WEWE KIBARAKA..
1. niambie uchaguzi wa 2010 kama sio SLAA kuteuliwa na chama kupeperusha bendera katika kinyan'ganyiro cha uraisi tungepata wabunge wengi wa chadema??
2.hivi mtu kama SUGU,WENYE,MNYIKA NA WAVUTA BANGI WENGINE wangepata wapi ubunge bila SLAA????
3. Waambie CUF wamfukuze SEIF SHARIF HAMAD then uje na huu utumbo wako hapa
taasisi huundwa na watu na watu ndio hujenga taswira ya taasisi.
ni kama CCM ilivyo na taswira ya KIFISADI kwa sababu ya baadhi ya wanachama wake kuwa mafisadi
ni kama CUF ilivyo na taswira ya kiarabu/uislamu na ugaidi kwa sababu viongozi wake wana hulka hizo
na ndio maana CHADEMA ina taswira ya KICHAGA NA KIKRISTO kwa sababu viongozi wake wana hulka hizo.
nitakuwa nimekuudhi ila nina hulka ya kuwaambia wajinga wote ukweli bila kujali ukweli huo unamuumiza kiasi gani