habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
hawa kushinda kama wao bali waliova mdaa kutoka chama vingine na bado ikavidi waibe...
Sasa kazi imekuwa rahisi mno yaani jiwe Moja ndege wanne pwaaaa! CCM oyeee
hawa kushinda kama wao bali waliova mdaa kutoka chama vingine na bado ikavidi waibe...
Wewe ndio wasema hata mkakati wa kuungana umetoka CCM kaa kimya hujuwi kitu wewe! Sasa ndio mwisho wa upinzani nchini Subiri uone!Taratibu CCM inaelekea ilikoelekea KANU ya Kenya!!
Watafurukuta lakini hawataweza.... haya ni matakwa ya MUNGU kwa watu wake!!!
Pumzika kwa amani sasa ndugu UKAWA, CCM hawana chao kabisaaaaa, umoja ni nguvu..........
Hapa nini wasiwasi na Lipumba tu. Kwa alichokifanya uchaguzi uliopita kilitia haibu upinzaniLumumba wako shimoni wanachungulia kama panya! Ponda kichwa hao!
Khaa!! why? Lete hoja za maana siyo unaongea tu kama mlevi :cool2:Kacheki afya yako ya akili..
Khaa!! Mtajiroga wenyewe :cool2:Mtajibeba na uchawi wenu, harogwi mtu hapa!
Mkuu chamviga leo umeongea point kubwa mno...naona umeanza kujitambua...
:iamwithstupid:Amekukuna eeh!
furaha ya mla mirungi endelèeni
mkuu, mie nafuatilia hiki kituko cha ukawa
Wakati mwingine nakukubali kwa kuwa huna hiyana. Mjiandae kuwa wapinzani tuMakamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.
CCM hawana mambo ya kitoto.