Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Leo Oktoba 29, 2025 Wanaingia katika zoezi la kupiga kura na kutimiza haki yao ya kikatiba kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais watakaoongoza kwa kipindi kingine cha miaka 5.
Wakati hayo yanaendelea kuna kundi jingine lilipanga kufanya maandamano ya amani kwa kile kinachoelewa kupika mauaji, hali ngumu ya maisha, na sheria kandamizi za uchaguzi ambazo hazitoi uwanja sawa wa wagombea kushindana.
Nini kitajiri siku ya leo, endelea kuwa hapa kupata updates zote za matukio ya leo.
=====
Saa tatu asubuhi: Mitaani hali ni shwali, barabara zikiwa nyeupe huku magari machache ya polisi (ikiwemo na vifaru) yakionekana barabarani.
Hali ilivyokuwa Jimbo la Kawe Muda wa Saa 2 asubuhi
Hali iliyo Kituo cha kupiga kura mtaa wa.Kivule Dar saa 4 asubuhi
Raia wamevamia kituo cha kupigia kura wamesepa na karatasi za kupigia kura pamoja na Madaftari
Wananchi wa Nyamongo Jimbo la Tarime Vijijini wasusia kufika kwenye vituo vya Kupiga kura
Wananchi wanavunja Vituo vya kupigia kura
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi Tanzania soma > GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wakati hayo yanaendelea kuna kundi jingine lilipanga kufanya maandamano ya amani kwa kile kinachoelewa kupika mauaji, hali ngumu ya maisha, na sheria kandamizi za uchaguzi ambazo hazitoi uwanja sawa wa wagombea kushindana.
Nini kitajiri siku ya leo, endelea kuwa hapa kupata updates zote za matukio ya leo.
=====
Saa tatu asubuhi: Mitaani hali ni shwali, barabara zikiwa nyeupe huku magari machache ya polisi (ikiwemo na vifaru) yakionekana barabarani.
Wananchi wa Nyamongo Jimbo la Tarime Vijijini wasusia kufika kwenye vituo vya Kupiga kura
Wananchi wanavunja Vituo vya kupigia kura
Mabomu ya Machozi yanasikika kupigwa kwa wingi kutoka Mitaa ya Ubungo.
View attachment 3495627
Mapema waandamanaji wameanza kujikusanya maeneo ubungo Dar Es Salaam
View attachment 3495628
Hali ilivyo asubuhi katika baadhi ya Barabara za Jiji la Dar es salaam
View attachment 3495630
View attachment 3495638
Kutoka Mbezi watu wanaitwa kuandamana
View attachment 3495644
Kutoka Ubungo wanaitana
View attachment 3495649
Wnananchi wakishangilia gari la Jeshi la Wananchi
View attachment 3495660
View attachment 3495671
Hali ilivyo Tunduma
View attachment 3495709
View attachment 3495711
Kituo cha kupiga kura kimeondoka hapo Gen-Z on fire
View attachment 3495718
View attachment 3495718
View attachment 3495716
View attachment 3495722
Kituo cha Mwendokasi kimechomwa moto waandamanaji, maeneo ya Ubungo
View attachment 3495725
View attachment 3495730
View attachment 3495750
Milio ya RISASI inasikika kuwatawanya Raia hapo nasikia mmoja amepigwa ya mguu. Saa 12:20 Mchana
View attachment 3495757
Kutoka Tunduma Gari la Polis limechomwa Moto, majira ya saa 6 mchana
View attachment 3495758
Kutoka Ubungo moto mkubwa ukielekea Sheli ya Mafuta
View attachment 3495768
Kituo cha kupiga kura kimetelekezwa
View attachment 3495770
Mwanamanaji akiwa na wanajeshi raha tupu wala haguswi
View attachment 3495789
Kutoka Kimara
View attachment 3495791
Kutoka Ubungo External
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi Tanzania soma > GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025