GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuandamana tumeshindwa! Hata kuwatia moyo waliojitolea kwenda nayo itushinde pia?

Wabongo tuna roho mbaya na kukosa umoja, hapo mnataka maandamano yashindwe ili mseme "tulisema" 🚮
Ishu sio kutiana moyo, mm mwnyw nataka maandamano ila bado hakuna mtu ambaye yupo tayari, wabongo sisi n wanafiki
 
Wewe si unawafokea watu kwenye post ukisema Upo seriously na nchi kiko wapi una comments tu kutoka hutoki 🤮
Nitoke na nani, pekee yangu au?
Kwanza wapi nmefokea watu?
 
Mimi nipo live nafuatilia harakati za ukombozi
1000058037.jpg
 
Ubungo wametisha sana. Zamani Manzese walikiwasha sana.

Dar kimsingi wanashida kubwa sana lkn ndo vile wanapambana..

Kwa ile shida ya mwendokasi leo wangekomaa nao hakika wanvepata suluhu ya kudumu.
 
Back
Top Bottom