GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Na JF wameipa "breaking news" habari ya kizushi kama hii. No wonder iko kifungoni.
We umejifungia kama binti alafu unasema uongo. Ubungo wametoka. JWTZ wanawaongoza raia. Polisi wamelala mbele. BBC wameripoti hivyo na ndio maana JF wameweka breaking news. Watu wapo mtaani.
 
Aisee ngoja niwahi eapoti hali ilishakuwa ngumu🐼
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Back
Top Bottom