KisiwaChaJagwani
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 438
- 758
Swala La Muda
Hili ndo tatizo lenu, mtu akiongea ukweli mnamuona n adui wenu 😂 hakuna nyumbu wa kuandamana, tulia.Kumbe unahangaika hivi kukatisha watu tanaa? Ungekuwa na akili ungetumia energy hiyo kutafuta pesa.
Mpira dakika 90, usiuweke tuu mpira kwapani .Hili ndo tatizo lenu, mtu akiongea ukweli mnamuona n adui wenu 😂 hakuna nyumbu wa kuandamana, tulia.
Kilichofanyika leo ni kuzira na siyo kuandamanaHakuna maandamano ,ipo siku watanzania wataandamana ila si leo.Japokuwa watu wengi leo hawatapiga kura.
Wewe si unawafokea watu kwenye post ukisema Upo seriously na nchi kiko wapi una comments tu kutoka hutoki 🤮Upo sahihi mkuu, watu wanaandamna online sio poa 🙌 lazima mama aachie nchi leo leo kabla ya saa 12 jioni
Hakuna maandamano ,ipo siku watanzania wataandamana ila si leo.Japokuwa watu wengi leo hawatapiga kura.
Kuandamana tumeshindwa! Hata kuwatia moyo waliojitolea kwenda nayo itushinde pia?Hili ndo tatizo lenu, mtu akiongea ukweli mnamuona n adui wenu 😂 hakuna nyumbu wa kuandamana, tulia.
Hamna itakua ni kijiko tu kimeanguka ndani ukadhani ni bomuKwani haya mabomu ninayoyasikia ni huku kwetu Ubungo pekee? 😳
Sasa polisi wao si wachukue ,maana ni rahisi kwaoMje fasta wanangu tukomboe nchiView attachment 3495616
Mtakubali tu....mwanzo mzuriHakuna maandamano ,ipo siku watanzania wataandamana ila si leo.Japokuwa watu wengi leo hawatapiga kura.