GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jeshi lingehakikisha kila walipo wananchi na wao wapo ili, kuwahakikishia usalama wao.
 
Kweli kuna UASI JESHINI na ni kweli Bibi hatakiwi na watu wamemchoka. Dah mama anaondoka kilainiiiiiiii.

Kwisha habari yake. Jana hata huki vijijini tumeona wanajeshi wengi wamekuja kwa magari binafsi na kutawanyika kwa kutumia bodaboda.

Kweli Mama Abdul byeeeeeeeee.
 
Mbezi hadi Goba kumepoa sana, hii kitu nilidhani ningekutana nayo Mbezi ili niunge jahazi.
 
Screenshot_20251029_105316_X.png



 
Back
Top Bottom