Ina maana wajukuu wetu watapata taabu sanaAtazaa zezeta kama Lucas Mwashambwa
Kiukweli kwa hata hiki kidogo ninachokiona sikukitarajia. Serikali inapaswa kujitafakari...
Na wao wamechoka maboss zao kujigeuza miungu watu kuwatisha tisha yani miye mwenyewe hapa nipo njiani uelekeo posta nikafanye tukio la kustusha ummaHata Jeshi na Polisi na wao ni kama wako upande wa wananchi.
Ukifika tujulishe.Keyboard warrior.Usisahau kutumia mto huko uvunguni ulipojificha.Yeah
Na wao wamechoka maboss zao kujigeuza miungu watu kuwatisha tisha yani miye mwenyewe hapa nipo njiani uelekeo posta nikafanye tukio la kustusha umma
Tokeza basi kutoka huko uvunguni.Si unaungwa mkono?Wacha ubabe wa mitandaoni.Hata Jeshi na Polisi na wao ni kama wako upande wa wananchi.
Ipo kifungoni Tanzania. Huku pemba tunaipata vzr. Acha tujue habar za nyumbani.Na JF wameipa "breaking news" habari ya kizushi kama hii. No wonder iko kifungoni.