HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Andamana watakulinda tu
Kwanini usiandamane hapo hapo ulipo au siyo Tz?Nataman ningekuwa dsm niongeze namba
Watsema hii ni zanzibar.Watu washajikusanya maeneo ya Kijazi so mliokaribu na maeneo haya tusonge hapa.
View attachment 3495690
Tembea nayo tu hakuna shidaNawaza tu ile Rosi Rosi yangu mpya namba E naificha wapi😭
Bahati mbaya hata cheche hakuna!!
Kuna mwendokasi imechomwa moto pale ubungo karibu na EACLKwann kuna uzi mbili tofauti khs jambo moja, au mods mnamuogopa Mshana kuunganisha Uzi wake humu?
Na hili ndo muhimu snMoto huanza kwa cheche...
Unajua niko wapi?Tokeza basi kutoka huko uvunguni.Si unaungwa mkono?Wacha ubabe wa mitandaoni.
Na hapa ubungo haya mabomu ni nn hikiHakuna maandamano ,ipo siku watanzania wataandamana ila si leo.Japokuwa watu wengi leo hawatapiga kura.
SafiKuna mwendokasi imechomwa moto pale ubungo karibu na EACL