Ulitaka manenomneno? Actions speak louder than wordsHii sasa ndio mbaya mtasababisha polisi waanze kupiga watu,. Hapa waandamanaji mmezingua
View attachment 3495724
Watawapa hasira wakati walikua wanawalinda fresh bila shida,.Ulitaka manenomneno? Actions speak louder than words
Wewe upo uvunguni unawajaza wenzio ujinga.Tupia picha ukiwa uvunguni.Amani iwe nanyi
Njoon tuwe wengi police wameanza kutukimbia wanarudi nyuma
Token magetoni jaman
SAYUNI BOY
Ili kuwepo heshima na KUHESHIMIANA lazima mambo kama hayo yatokee. Ulifuatilia NEPAL?Watawapa hasira wakati walikua wanawalinda fresh bila shida,.
Namaanisha huu ni uharibifu
CCM, chama cha mama na baba!!!
Samia, mitano tena!!!
✊🏽
Watu watazidii kujaa roadTumeshauri sana , ila twaoneka wapumbavu, walio kwenye viyoyozi tu ndo wanaonekana kuwa na akili , wenda hii ni rasharasha mvua inakuja , sijui fika kesho hali ya Taifa inaweza kuwa wapi , tumekosea sana kujiaminisha kwamba watz ni waoga ,
Do not underestimate any one .
Kuna mikoa likiamua amusha dude itakua balaa nawambia wana wa Mungu na sio kama wamelala hatujui mipango yao .
Why tunafika hapa .
Mungu ibariki tz ibariki Afrika
Tupo njiani tunakuja maeneo ya ubungo kuongeza nguvuPolisi anawaambia vijana Mbona mnachelewa? Iteni wenzenu wengi zaidi waje.
Jeshi nao wanawaambia vijana ongezeni nguvu.
Mlioko mitaani tokeni
Kila kituMbona wanachoma ofisi na bus la Esther, sio sawa. Chomeni vituo + mwende huko Posta Ikulu