GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Najiuliza haya maandamano hata yasipofika mahali popote, sijui baada ya hapa ni picha gani itajengeka kati ya rais, jeshi, polisi, vyombo vya usalama na wananchi

Baada ya uchaguzi sijui wataangalianaje
Nafikiria pia amiri jeshi mkuu atakua analiangaliaje jeshi sababu maandamano haya hayakuruhusiw ndio maana likapelekwa jeshi ili kuzuia, lakini wanajeshi wanasisitiza watu wasonge mbele zaidi. Sijui baada ya hili kutakuaje huko ndani
 
Hongereni wote mlio barabarani kukiwasha
Screenshot_20251029-121026.png
 
Kama ilivyo kawaida na miaka yote Chombo hiki cha habari kinatafuta habari za kuokoteza ili kutaka kuonesha kuna machafuko.
Watanzania wamekataa uchochezi wanapiga kura na wanaenda kufungua biashara zao
Wewe kapuku mlamba viatu kama hakuna fujo yale mabomu yaliyokuwa yanavurumishwa na mbwq wa Muliro ni ya nini? Wacha usenge wako
 
Back
Top Bottom