GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyo muongo tu.
We huoni tunavoruhusiwa kupanda gari zao na kupiga nao picha?
Sisi tuliopo huku mbona hatuoni hayo Mambo. We unadhani zile kauli za mafwele kuwadharau wazi wazi wanajeshi ni kitu chema.?

Mpaka sasa Jeshi linaendalea kutuhimiza kusonga mbele na tuzidi kuwaita watu.

Naona kama wao pia wana jambo lao juu ya hii serikali.
 
Back
Top Bottom