Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Povu la niniKama ipo kifungoni we waipataje zoba wahed weye?
Povu la niniKama ipo kifungoni we waipataje zoba wahed weye?
Wanainafikia TU🤣CCM inavyopendwa na wananchi jamani.....hahahahahaah
Ukiingia tiktok bofya kitufe cha liveSiwapati wote
Live
Niembie nniyupo
Nice one backup wameishusha
Hapa temeke bado watu wanajishayri kutoka
Hizi sio mali za Mwigulu kweli?Mbona wanachoma ofisi na bus la Esther, sio sawa. Chomeni vituo + mwende huko Posta Ikulu
Tuma picha engineerTandale huku hali si shwari, ni mwendo wa risasi, mabomu na kuchoma moto maduka
Habari tunazopenda kusikia. Bado Mafwele.Polisi kapigwa na mjeda, mambo yana,idi kunoga
Nipo online lakini nimechill zangu home nawasubiri mje tuzogoe tu 😅 - Oktoba 29 - tulioshindwa kutoka majumbani kwa sababu mbalimbali tukutane hapaWe upo offline au ?!
Ndio nimejua leo kwamba ni zake yanHizi sio mali za Mwigulu kweli?