Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Kwa kifupi ni kwamba watanzania ni kama gunia la kinyesi kibichi alibebeki.
Kwa hizi video ni wazi majeshi walitegemea watanzania watoke kwa wingi ili wamalize kazi.
Lakini ndio kwanza wengi ni waangaliaji tu japo jeshi linaonyesha wazi hakuna wakuawamiza.
Anyway labda kadri masaa yanavyoenda watu wataamini na kuongezeka kitaa.