Huku hakukaliki auntyNipo online lakini nimechill zangu home nawasubiri mje tuzogoe tu 😅 - Oktoba 29 - tulioshindwa kutoka majumbani kwa sababu mbalimbali tukutane hapa
Pole, umeenda kukinukisha?Huku hakukaliki aunty
Nimejaribu kidogo 🔥Pole, umeenda kukinukisha?
Absolutely, Watanzania wengi ni mizoga, licha ya code wanazopewa na support lakini mijitu imelala ile mbaya......nimegundua wengi wanafurahia shidaKwa kifupi ni kwamba watanzania ni kama gunia la kinyesi kibichi alibebeki.
Kwa hizi video ni wazi majeshi walitegemea watanzania watoke kwa wingi ili wamalize kazi.
Lakini ndio kwanza wengi ni waangaliaji tu japo jeshi linaonyesha wazi hakuna wakuawamiza.
Anyway labda kadri masaa yanavyoenda watu wataamini na kuongezeka kitaa.
Absolutely, Watanzania wengi ni mizoga, licha ya code wanazopewa na support lakini mijitu imelala ile mbaya......nimegundua wengi wanafurahia shida
Hapa online au umeingia mtaani 🤣🤣😅Nimejaribu kidogo 🔥
habari zaoMkuu watu wapo maeneo tofauti, kuna wa kimara huko, Kuna ubungo, Kuna sinza, Kuna magomeni. Hawa wakiungana ni maelfu, itakua hatari zaidi
Mbagala hakuna maandamano, labda baadaeMbagala kumepoa sioni
habari zao
Mkuu unaendelea kubeza kabisa watu hawajawahi kuwa na maandamano ya maana ka haya ndo the first time halafu useme wanasimama tu hapo unaowabeza wewe upo kwako na wifi hata huwazi.Kwa kifupi ni kwamba watanzania ni kama gunia la kinyesi kibichi alibebeki.
Kwa hizi video ni wazi majeshi walitegemea watanzania watoke kwa wingi ili wamalize kazi.
Lakini ndio kwanza wengi ni waangaliaji tu japo jeshi linaonyesha wazi hakuna wakuawamiza.
Anyway labda kadri masaa yanavyoenda watu wataamini na kuongezeka kitaa.
Tunduma inasemakana amekufa japo sina uhakika huoKuna video nimeona haa Askari wanapigw na raia, kusema kweli nimemuona huruma. Sijui kama atapona
We are organizingDodoma wajinga sana hadi sasa ofisi ya INEC ime simama
Ana maanisha mikoa mingine pia wachangamke ili nchi iwe declared under state of emergence then JWTZ watangaze kuchukua nchi.Mkuu unaendelea kubeza kabisa watu hawajawahi kuwa na maandamano ya maana ka haya ndo the first time halafu useme wanasimama tu hapo unaowabeza wewe upo kwako na wifi hata huwazi.
Hadi hapa sikutegemea itakuwa hivyi na bado mwitikio utakuwa mkubwa mnoo
Hii hapaIlete tuione