City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Ni lazima iwe na account au hata bila account naweza ona ?Ukiingia tiktok bofya kitufe cha live
Wako wengi mbona
Ila washa VPN
Chuga ya sasa wengi wenu mnavaa shangaArusha hasa Mjini muitikio haujawa mkubwa kutokana na Trick waliyoifanya kwa kumleta MAKONDA.
MAKONDA anakubalika mno na watu wa huku, na Wanataka awe Mbunge wao.
Aliishi nao vizuri akiwa RC. Wamemlindia HESHIMA not otherwise.
Lazima uwe na accNi lazima iwe na account au hata bila account naweza ona ?
Risasi za moto na maandamano wapi na wapiWahuni wameingilia maandamano,l, kuchoma moto vituo vya mafuta na mwendokasi na maandamano wapi na wapi?
Wamepoa kama machalari yasiokuwa na supu ya nyama 😂Chuga niaje huko?😆
Lazima uwe na acc
Si unadownload unajisajili chap? Unatumia hata majina bandia
Ni kweli.Chuga ya sasa wengi wenu mnavaa shanga
Kesi ya Ngedere unampelekea Nyani?Uzi wa kichochezi kama huu ufutwe mods mko wapi?
Ila najiuliza imekuaje serikali mpaka sasa hawajazima internet, ni nini kimewakwamisha 🤔Nafikiria pia amiri jeshi mkuu atakua analiangaliaje jeshi sababu maandamano haya hayakuruhusiw ndio maana likapelekwa jeshi ili kuzuia, lakini wanajeshi wanasisitiza watu wasonge mbele zaidi. Sijui baada ya hili kutakuaje huko ndani
Baada ya ukombozi, mbunge wao mtarajiwa anaenda JelaArusha hasa Mjini muitikio haujawa mkubwa kutokana na Trick waliyoifanya kwa kumleta MAKONDA.
MAKONDA anakubalika mno na watu wa huku, na Wanataka awe Mbunge wao.
Aliishi nao vizuri akiwa RC. Wamemlindia HESHIMA not otherwise.
Watu wanatumia vpnIla najiuliza imekuaje serikali mpaka sasa hawajazima internet, ni nini kimewakwamisha 🤔
Povu unalo mwenyewe toilet paper kichambio cha mazaPovu la nini