Nimeishi jirani na hapo Kibo miaka zaidi ya 20 napajua vizuri ndiyo penyewe pale.Umejifungia juu ya dari unapostiwa clip za huko Kenya unakurupuka nazo, ubungo gani hiyo?
Alikua anapiga rosasi za moto, wakamfata na kumpigaKakosea sana huyo mjeda.
Alitakiwa amtandike risasi kabisa.
Wamenyanyasa sana wananchi hao policcm.
Wanajeahi hawapo hapo?External Kuna watu wepigwa risasi za moto
Leo Kwa mara ya kwanza nimeonja ladha ya bomu la machozi
Halafu uko online unashangilia wenzako wanakula za motoInafurahisha🔥🔥🔥
Tiktok LIVE ndio LIVE ya maandamanokule tiktok wanaonysha live vijana wanavyozidi kuingia road
Watawapa hasira wakati walikua wanawalinda fresh bila shida,.
Namaanisha huu ni uharibifu
Gari moja tu la mtukufu wa daraja ABDUL linatosha kujenga hayo mabanda ya kuku 40Ila hii ya kuharibu miundombini siyo nzuri, kuvunja vituo kupigia kura sawa ila siyo mwendokasi.
Mara Dakika za majeruhi atokee kepteni tesha amalize mchezo
Hatari sanaYaan
Unafanya kazi ya kuhama live hii unaenda ingine
Chuga niaje huko?😆Mbona wanachoma ofisi na bus la Esther, sio sawa. Chomeni vituo + mwende huko Posta Ikulu
We upo offline au ?!Halafu uko online unashangilia wenzako wanakula za moto
Miafrika issue sana
Kaa kwa kutuliaJeshi pia lihakikishe hiyo barabara ya Morogoro Rd iwe wazi kwa ajili ya mizigo kutoka Daresalama kuelekea nchi jirani na mikoani.