GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Safi sana,kutawaliwa na mzanzibar na bado ni mwanamke kamwe sikubaliani nalo
 
Kituo cha polisi kinachomwa moto. Viongozi wafanye jambo huenda mambo yakawa mabaya zaidi
 

Attachments

  • 2025-10-29_15-38-22_0.mp4
    476.8 KB
JWTZ wasichelewe wawapeleke nje ya nchi haraka wachukue nchi haraka tuanze kuijenga upya nchi yetu
 
JWTZ kuna askari wa samia wapo kwenye land cruiser wanamimina risasi mitaani hapa Dar.

Tunaomba tumeni zile humvee zenu zikawashughulikie.

Pia tumeambiwa kuna askari makuwadi wa mafisadi wanamimina risasi arusha maeneo ya clock tower. Tunaomba nao mkawashughulikie.
 
Sio sawa. Wanaacha mali za mijizi ya ccm wanachoma mali za vijana wapambanaji. Nakumbuka mob justice is emotional, not logical.
Wameondoa maana nzima ya maandamano ya amani ambayo tulitarajia yataleta matokeo na wameyageuza kuwa vurugu za uharibifu 🚮🚮
 
Wameondoa maana nzima ya maandamano ya amani ambayo tuliyotarajia yataleta matokeo na wameyageuza kuwa vurugu za uharibifu 🚮🚮

Wewe nakuona unaongea ujinga karibu kwenye kila uzi ...maandamano ya amani kama mliyataka mngehakikisha waandamanaji wanapewa ulinzi tangu mapema badala ya vile vitisho vyenu.....kwa hiyo kaa kwa kutulia
 
Back
Top Bottom