GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Maandamano ya amani kama mliyataka mngehakikisha waandamanaji wanapewa ulinzi tangu mapema badala ya vile vitisho vyenu.....kwa hiyo kaa kwa kutulia
Kwahiyo mkifanya vurugu na kuharibu mali zenu wenyewe za umma ndiyo mtapewa ulinzi au?

Ila stupidity 🤦‍♀️🚮
 
Wameondoa maana nzima ya maandamano ya amani ambayo tulitarajia yataleta matokeo na wameyageuza kuwa vurugu za uharibifu 🚮🚮
Nyie wadhalimu hamna jema, hata kama kusingekuwa na hata jiwe moja lililorushwa mngetengeneza mabango ya propaganda ya kumsifu mama yenu kama mwanademokrasia wa karne kuwezesha uchaguzi kufanyika pamoja na maandamano ya amani.
 
Wamelitesa sana hili Taifa.

Wamejjigawia migodi ya madini, wanajigawia tenda na kandarasi za Serikalini ili kupiga hela za walalahoi

Wakaenda zaidi kututeka, kutuua na kutumaliza

Tunaomba mchukue nchi tuanze kuijenga upya.
 
Haha vipi nyie mmeshindwa?
 
Wamelitesa sana hili Taifa.

Wamejjigawia migodi ya madini, wanajigawia tenda na kandarasi za Serikalini ili kupiga hela za walalahoi

Wakaenda zaidi kututeka, kutuua na kutumaliza

Tunaomba mchukue nchi tuanze kuijenga upya.
Wahuni wote wakamatwe mali zote walizoiba zirudishwe kwa umma. Majizi yote watupwe lupango.
 
Polisi wamezivuaje au wamevuliwa!au walivaa nguo ndani za kawaida
 
Back
Top Bottom