Wasisahau majengo na ofisi za CCM na police ikiwezekanaTRA mbalizi Mbeya jengo linateketea
Zinakuja mkuuTaarifa na Picha au mjengeo
Mbona kumepoa
yes police wamevaa nguo za kiraia tena wanawalenga kabisaWameuliwa na polisi au nani?
yes police wamevaa nguo za kiraia tena wanawalenga kabisa
Daaah!!sasa mnawaachaje hao wanshenzi?
ilikuwa ghafla mkuu then wakasepa kwa kasi
Jeshi lisichelewe kabisa lichukue hii nchi hata muda huuI second this 👆🏾
Kama ni kweli hii ni habari njema. Samia, Abdul, Kikwete, Mombo, Mafwele, Wambura wazuiwe wasitoroke.Uwanja WA ndege WA Julius Nyerere upo mikononi mwa jeshi