GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wameachia internet sasa ni muda wa kuangalia damage tuliyoisababisha
 
Mkuu mbna uko nyuma ya wakati, hamna anayefikiria takwimu muda huu…wanawaza wanatorokaje kuokoa maisha yao au kwenda jela, maana airport ya Dar iko chini ya jeshi ambako kuna private jets.

mipakan uko kumejaa watu….mziki ni wanawaza wanatorokaje…wapo kwnye survival mode sasa hivi…na Samia akijiudhuru kabla hajatoka ndani ya nchi ni amejitia kitanzani, maana ile presidential security yote inajitoa…ndo maana maraisi wengi kabla ya kujiudhuru ni unasikia amekimbia nchi ili apate ile escort ya kiutawala
Pamoja na maelezo yako kuwa mazuri, lakini unaipa taarifa za vijiweni tu. Hatuwezi kutumia akilikujadili mambo muhimu kama haya kwa kutegemea taarifa za vijiweni.
Niambie kinaga ubaga, hao watu wapo wapi sasa; kazi yao imekwisha sitishwa kwa tamko lipi toka kwa mamlaka yapi, hapo tutaanza kujadili jambo la maana.
 
Una uhakika sikuhimiza au unajiropokea tu ili mradi useme?

Mimi nasupport maandamano ila siungi mkono fujo, ghasia na looting. Kama wewe unasupport hayo mambo sawa, nitaheshimu msimamo wako lakini sikubaliani nao!
Sasa wewe unaye'support'' maandamano unataka hayo maandamano yakajichuje kwanza kuondoa hizo takataka za wahuni ndipo yafanyike maandamano?
Hujui kuwa hiyo kazi ya kuzuia wahuni ni kazi ya polisi, ambao ndio jukumu lao lingekuwa ni kuyalinda hayo maandamano unayo yataka wewe?
Tueleze polisi walihimiza nini kabla ya maandamano hayona kwa nini wanazuia hata hayo unayoyataka b wewe.
 
Back
Top Bottom