Leo mchana na jioni flani hivi nilikuwa nasikia milipuko, au ni watoto wa jirani wanalipua baruti?Waliamka
Kiliwashwa mbaya
Bora tumerudi mtandaoni
Oya utatembelewa na wewe....Leo anatangazwa wa Zanzibar, ana apishwa kesho Ijumaa, huku anatangazwa Jumapili anaapishwa Jumatano Ijayo .
P
Mwl. bado uko connected au wamekata tena?Hatimaye internet imerejea ( kwa upande wangu) nilikuwa 'Gizani' tangu jana saa 6
View attachment 3496108
Alhamdulilah we did it....Mje fasta wanangu tukomboe nchiView attachment 3495616
kila uchaguzi kuna wapuuzi wanajitokeza kuchezea fimbo, huu pia utakua hivyo hivyo. Unadai haki kwa kuchoma moto mwendo kasi, huo kama sio upumbavu ni nini?
Ubarikiwe, wewe jana ndo ulikuwa wa kwanza kuanza kutoa updates za maandamano, na kuanza kuwatia moyo watu. Inawezekana kuna watu wawili watatu wa JF, walienda kuandamana baada ya kuona bandiko lako. Kabla ya hapo machawa walikuwa wakifyatua mabandiko mengi ya kejeli na kuvunja moyo watu.Alhamdulilah we did it....
..4R zingetekelezwa tusingefikia hali ya vurugu za kiwango hiki.
..milango ya kudai haki imefungwa ndio maana vijana wanadai haki kwa kukosa nidhamu.
Wewe chokoraa vipi bado huamini Nguvu ya UMMA?Hili ndo tatizo lenu, mtu akiongea ukweli mnamuona n adui wenu 😂 hakuna nyumbu wa kuandamana, tulia.
Samia yuko Dodoma.Ukipata ujumbe huu share na mwenzako.
Watu wote Dar sasahivi uelekeo ni Ikulu. Njooni tuungane pamoja kutoka pande zote za Jiji.
Jeshi linatulinda.
Tunaenda kuwakabidhi Jeshi Ikulu rasmi.