The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,254
- 2,170
Kivipi mkuu,wengine tuko mbali na mijini.WAnanchi tumechukua nchi
Kivipi mkuu,wengine tuko mbali na mijini.WAnanchi tumechukua nchi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni furaha.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣WAnanchi tumechukua nchi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kivipi mkuu,wengine tuko mbali na mijini.
Kwahiyo mmesharudi kutoka ikulu?WAnanchi tumechukua nchi
Itakuwa hii ni kweli. Maana hakuna Update yoyote tangu muda ule.Nasikia kundi kubwa la Mbezi wamepigwa risasi, wametawanywa kabla hata hawajaimaliza kimara.
Wale waliokua maeneo ya mbele karibu na mjini watuambie kama wameweza kusonga mbele.
Leo ni siku ya furaha sanaKwahiyo mmesharudi kutoka ikulu?
Mimi sio chawa..... Nitakuja uzi pakiwa sharing tu ..picha video nitaleta hapaLeo ni siku ya furaha sana
Machawa tafuteni nchi ya kwenda rasmi
Kama upo nchini jiandae kwenda jela🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama upo nchini jiandae kwenda jela
Ya huku yanafurahisha. Hadi wamekata umeme na kuzima mtandao nchi nzima
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama upo nchini jiandae kwenda jela
Ya huku yanafurahisha. Hadi wamekata umeme na kuzima mtandao nchi nzima
Saa 10:36 jioni hii Je hamjafika tu Ikulu mkuu?
Acha umama, haya sio mambo ya kujichekesha bro
Then kuna last option mnaifahamuSasa baada ya nchi kuharibika na ameona mwenyewe bado anataka kurudi kuja kutuongoza wakati hatumtaki hata kumsikia kabisa??Huyu mama ana hatari sana tena sana kweli madaraka matamu sana sijawahi kuona
Bwana mdogo hebu lala kidogo!!! Unachanganyikiwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣JWTZ
Tunasubiri tangazo letu kuanzia sasa kuwwa nchi ipo mikononi mwenu.
Nawaambia kwa mara ya mwisho. Kosa alilofanya Samia kuua Watanganyika kwa kutumia vikosi na majeshi ya kigeni ndo kosa kubwa zaidi kuwahi kufanywa na mtu yeyote yule.
Huyu hana mapenzi na Tanganyika, hawapendi Watanganyika. Anataka atutawale na kuchota mali zetu kwa faida ya familia yake, magenge yake na Wazanzibari wenzake.
Msimruhusu sio tu awepo Tanganyika ila hata kungwa maji ya Tanganyika.
Komesheni huu ushenzi wake na wa chama chake leo hii.
Tunasubiri tangazo lenu la kuchukua nchi.
Unacheka kabisa!! Mna roho mbaya hata shetani anasubiri.Bwana mdogo hebu lala kidogo!!! Unachanganyikiwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tunathibitisha vipi madai hayo?Unacheka kabisa!! Mna roho mbaya hata shetani anasubiri.
Nyie watu ni washenzi sana. Na jueni tu huu ndo mwisho wenu kuwafanya Watanganyika mazuzu.Tunathibitisha vipi madai hayo?
Kwa mfumo wa uchaguzi tulio nao, kuna haja gani ya kuleta wanajeshi wageni? Unahisi Jeshi letu lipo kinyume na chama tawala?