GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii ya sasa ni mwanzo tuu wa kufikia huko, next time tutakuja na nguvu na akili kuzidi ya sasa.
 
Mama na nchimbi wake wasidhani wananchi tumefuraishwa na ushindi wao fake...bado tunaugulia maumivu mioyoni mwetu hasa kupoteza ndugu zetu wapendwa waliokufa wakipambania nchi Yao....
 
Jaribu uone cha mtema kuni. Kama unavuta mibangi na imekushinda utashikishwa na kufundishwa adabu mpaka akili ikukae sawa.
 
Watu wamejifunza somo la amani kupitia njia ngumu kuwa makini wananchi wenzako wasije kukuua wao
 
Back
Top Bottom