GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyie watu ni washenzi sana. Na jueni tu huu ndo mwisho wenu kuwafanya Watanganyika mazuzu.

Hapa Dar wamekamatwa na wengi kuuwawa. Wako chini ya JWTZ.

Subiri kazi ikamilike wataonyeshwa.
Unaota bwana mdogo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nyie watu ni washenzi sana. Na jueni tu huu ndo mwisho wenu kuwafanya Watanganyika mazuzu.

Hapa Dar wamekamatwa na wengi kuuwawa. Wako chini ya JWTZ.

Subiri kazi ikamilike wataonyeshwa.
Uongo wowote ule una haribu jambo hata kama ni zuri. Kuna dai la msingi kuhusu mifumo ya kuendesha siasa za nchi, hatuhitaji uongo kuharibu, na tukitumia uongo basi tutapata malipo yake vilevile
 
Amefanya kosa kubwa zaidi kwa kuingiza majeshi ya kigeni kuwaua Watanganyika ili atutawale kwa nguvu.

Mmejionea wenyewe askari wa Uganda, Burundi na Msumbiji walivyojaa na wanavyoua Watanganyika. Hili ni kosa kubwa zaidi kuwai kufanywa na mtu yeyote yule.

Amejitangaza kuwa Rais wa Tanzania kwa kulazimisha Tume kumtangaza.

Silaha zote mnazo nyie. Hakikisheni kuanzia leo mahali popote atakapokuwa ndani ya Tanganyika anakamwatwa na kuwekwa kizuizini.

Zaidi chukueni hii nchi leo hii. Inyeshe mvua liwake jua hakikisheni kuna Press ya Kitaifa ya Jeshi kuchukua nchi. Acheni usenge.
Mkuu uchaguzi umeshakwisha na mshindi ashatangazwa.
Swala la jeshi kuchukua nchi katiba yetu inazuia na hata kimuundo utekelezaji wake ni mgumu kuliko unavyodhani.
Vijana wa Gen- Z , na watanzania kwa sasa turudi kujenga nchi. Uchaguzi ushakwisha mpaka 2030.
Walioshinda iwe somo la wapi mliteleza na kutimbinganya murekebishe.
Wananchi ndio wenye nchi, muwasikilize malalamiko yao.
Wapinzani sio maadui.
Wafungwa wa kisiasa watolewe magerezani na udwanzi wa kutekana ukome.
Katiba mpya ya warioba irasimishwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi baadae.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Amejitangaza kuwa Rais wa Tanzania kwa kulazimisha Tume kumtangaza.
Samia ni dikteta haswa. Hataki mawazo tofauti. Kajipitisha kugombea CCM, kafungia upinzani wote ndani na nje ya chama, kazifunga mdomo media zote za ndani. TBC ni kama mdomo wake. Na sasa hivi kajitangaza kuwa mshindi katikati ya low turnout, machafuko.

Jeshi, bunge, polisi, mahakama, Tume ya uchaguzi, usalama wa taifa amevifanya kuwa vyombo vya kumlinda yeye binafsi na genge lake.

Tanganyika na vyote vilivyomo n̈na vyombo vyake vyote amevibinafshisha kuwa kama mali yake binafsi na wananchi wote watumwa wake kuwakamua kodi ili kuendesha utawala wake mbovu.
 
K
Mkuu uchaguzi umeshakwisha na mshindi ashatangazwa.
Swala la jeshi kuchukua nchi katiba yetu inazuia na hata kimuundo utekelezaji wake ni mgumu kuliko unavyodhani.
Vijana wa Gen- Z , na watanzania kwa sasa turudi kujenga nchi. Uchaguzi ushakwisha mpaka 2030.
Walioshinda iwe somo la wapi mliteleza na kutimbinganya murekebishe.
Wananchi ndio wenye nchi, muwasikilize malalamiko yao.
Wapinzani sio maadui.
Wafungwa wa kisiasa watolewe magerezani na udwanzi wa kutekana ukome.
Katiba mpya ya warioba irasimishwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi baadae.
Mungu ibariki Tanzania.
Katiba inaruhusu kuiba Uchaguzi?

Hayo maneno yenu ya kipuuzi imyaishie huko huko kwenu wapumbavu nyie.
 
K

Katiba inaruhusu kuiba Uchaguzi?

Hayo maneno yenu ya kipuuzi imyaishie huko huko kwenu wapumbavu nyie.
Mkuu wa kazi tunapoendea tutakulana nyama choma wenyewe kwa wenyewe.
Njaaa imekuwa kali mkuu wa kazi, Mikasava haichuuziki tena hapa sokoni.
75% ya sisi watanganyika hatujaajiriwa , chakula cha leo inabidi kitafutwe leo.
Sasa mkuu leo siku ya 3 hakuna kuchuuza wa kununua tunakula nini na familia?
Sisi wengine maskini lusu na kipaumbele chetu ni chakula cha siku tu, hayo mambo mengine ya demu la kulishia na mateke yanayokujia kwetu ni vipengele.
Walioshinda washashinda, walioshindwa poleni maisha yasonge.
Narudia tena Njaa haina dhehebu wala haina adabu, tutakulana nyama choma menyewe ka menyewe.
Chonde chonde , mijazba bila kufikiria kesho yetu haitatusaidia.
Tujipange kwa 2030.
Mungu ibariki Tanzania
 
Hongera sana wote mlio weka alama ili Tanzania ikombolewe
 
Back
Top Bottom