GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawakusoma alama za nyakati.
Hawakusoma pale watu walipoamua jirekodi wakisema kuwa watatoka
Hawakusoma alama za nyakati pale ambapo watu hawakutokea mikutano yao
Watu kutotokea "mikutano yao", wapi huko mkuu 'HIMARS'?
In fact walijitahidi sana mikutano ya Samia yoooote; hakuna hata mmoja ambao haukuwa na watu. Unachoweza kusema ni; hao watu wamefikafikaje hapo.

"Alama za nyakati" walizisoma sana, ndiyo maana "Amiri Jeshi Mkuu" alikuwa haachi kujitangaza kuondoa wasiwasi kwa yeyote aliye msikiliza.
WaTanzania wametishwa sana kuvunjwa miguu, kuwa vilema, n.k.,; Akina Jumanne Mlilo kazi hiyo wameifanya sana; na kana kwamba haikutosha, mifano halisi ya watu kutekwa, kupotezwa yakawa ni mambo ya kawaida sana ili waTanzania wote waelewe; na hakuna aliyejihangaisha kueleza chochote; hata Samia mwenyewe, ili kuondoa wasiwasi kwa waTanzania kujuwa ni nani na kwa sababu zipi utekaji huo ulikuwa unafanyika.

Kwa hiyo siyo kweli hata kidogo kwamba hawa washenzi "hawakusoma alama za nyakati."
 
Wameondoa maana nzima ya maandamano ya amani ambayo tulitarajia yataleta matokeo na wameyageuza kuwa vurugu za uharibifu 🚮🚮
Wewe ulitegemea "maandamano ya amani"; mbona awali hukuhimiza uchaguzi wa amani; au huelewi ninacho kieleza hapa?

Haya maandamano ni matokeo ya matendo yasiyokuwa halali katika mchakato mzima wa uchafuzi,.... Sasa umeelewa?
Lakini hata bila ya hivyo, wewe unadhani hao waTanzania waliotekwa, kupotezwa kuuawa, matendo hayo pia yalikuwa ni ya aamni?

Msiwe mnapenda kujiondoa akili vichwani na kuwa kama majuha!
 
Hii ni hatua muhimu inayofuata. Wasiachwe hawa wapumbavu watengeneze takwimu zisizokuwa na uhalisia.
Inatakiwa hawa wawe kwenye udhibiti wakati huu
Mkuu mbna uko nyuma ya wakati, hamna anayefikiria takwimu muda huu…wanawaza wanatorokaje kuokoa maisha yao au kwenda jela, maana airport ya Dar iko chini ya jeshi ambako kuna private jets.

mipakan uko kumejaa watu….mziki ni wanawaza wanatorokaje…wapo kwnye survival mode sasa hivi…na Samia akijiudhuru kabla hajatoka ndani ya nchi ni amejitia kitanzani, maana ile presidential security yote inajitoa…ndo maana maraisi wengi kabla ya kujiudhuru ni unasikia amekimbia nchi ili apate ile escort ya kiutawala
 
Wewe kapuku mlamba viatu kama hakuna fujo yale mabomu yaliyokuwa yanavurumishwa na mbwq wa Muliro ni ya nini? Wacha usenge wako
kila uchaguzi kuna wapuuzi wanajitokeza kuchezea fimbo, huu pia utakua hivyo hivyo. Unadai haki kwa kuchoma moto mwendo kasi, huo kama sio upumbavu ni nini?
 
kila uchaguzi kuna wapuuzi wanajitokeza kuchezea fimbo, huu pia utakua hivyo hivyo. Unadai haki kwa kuchoma moto mwendo kasi, huo kama sio upumbavu ni nini?
Sio Mwendokasi tu, na vituo vya Polisi
 
Hakuna Rais hapa, hakuna uchaguzi, nchi iko chini ya wananchi. Tuna subiri kwenda kuchoma jengo la INEC. Kifuatacho kwanza ni kuwaachia wote waliotekwa, wote waliokamatwa kwa makosa ya kijinga na kuwaachia wana siasa wote.

Pili kuwa na serikali ya mpito tukijiandaa kuandaa katiba mpya/ tume ya uchaguzi na kuingia kwenye uchsguzi huru.

Hatukubi chochote kutoka ccm au kupangiwa na mtu yeyote wa ccm.
 
Wewe ulitegemea "maandamano ya amani"; mbona awali hukuhimiza uchaguzi wa amani; au huelewi ninacho kieleza hapa?

Haya maandamano ni matokeo ya matendo yasiyokuwa halali katika mchakato mzima wa uchafuzi,.... Sasa umeelewa?
Lakini hata bila ya hivyo, wewe unadhani hao waTanzania waliotekwa, kupotezwa kuuawa, matendo hayo pia yalikuwa ni ya aamni?

Msiwe mnapenda kujiondoa akili vichwani na kuwa kama majuha!
Una uhakika sikuhimiza au unajiropokea tu ili mradi useme?

Mimi nasupport maandamano ila siungi mkono fujo, ghasia na looting. Kama wewe unasupport hayo mambo sawa, nitaheshimu msimamo wako lakini sikubaliani nao!
 
kila uchaguzi kuna wapuuzi wanajitokeza kuchezea fimbo, huu pia utakua hivyo hivyo. Unadai haki kwa kuchoma moto mwendo kasi, huo kama sio upumbavu ni nini?
Si wamechoma kwenu pia pale kwa Mwigulu wacha wafanye hivo hivo mali za mafisadi hizo wape mauwa yao usiwe na hiyana.
 
Namanga border imechomwa
 

Attachments

  • Screenshot_20251030_130917_X.jpg
    Screenshot_20251030_130917_X.jpg
    136.5 KB · Views: 31
Hakuna Rais hapa, hakuna uchaguzi, nchi iko chini ya wananchi. Tuna subiri kwenda kuchoma jengo la INEC. Kifuatacho kwanza ni kuwaachia wote waliotekwa, wote waliokamatwa kwa makosa ya kijinga na kuwaachia wana siasa wote.

Pili kuwa na serikali ya mpito tukijiandaa kuandaa katiba mpya/ tume ya uchaguzi na kuingia kwenye uchsguzi huru.

Hatukubi chochote kutoka ccm au kupangiwa na mtu yeyote wa ccm.
wewe huko TZ unless unatumia starlink kitu ambacho nina uhakika huna uwezo nacho
 
Back
Top Bottom