Kenya ipi hiyo sasa?Umejifungia juu ya dari unapostiwa clip za huko Kenya unakurupuka nazo, ubungo gani hiyo?
Hujaacha ujinga bado, endeleeni kuweka kuni maana zitaishia kuwachoma wenyewe, huu ni mwanzo tuuKuna dalili kitu mbaya watu wataenda fanywa usiku huu,wacha wafurahie
Na mimi nimeshangaa, kwamba wameondoka uchiPolisi wamezivuaje au wamevuliwa!au walivaa nguo ndani za kawaida
Hivi Lucas Mwosha Mbwa leo yuko mitaa gani? Bado yuko kituo chake cha kupigia kura?Atazaa zezeta kama Lucas Mwashambwa
Limejificha dariniHivi Lucas Mwosha Mbwa leo yuko mitaa gani? Bado yuko kituo chake cha kupigia kura?
Yupo anakamuliwa ndimu kwenye kishunduHivi Lucas Mwosha Mbwa leo yuko mitaa gani? Bado yuko kituo chake cha kupigia kura?
Mikoani ni wapi?Watu wa Mikoani ni mafisi wakubwa
Mmejaa humu kazi kupiga domo
aloooo hatariii huku kinondoni nimeshudia raia wanne wamekufaaa
Hawakusoma alama za nyakati.Moto huanza kwa cheche...