G
guest-1790917349
Guest
We km kitu hukiwezi wala usiwafanye wengine hawaweziMm sio mnafiki kama nyie
Wala usiwasemee wengine au juwavunja koyo
Acha kila mtu afuate njia yake anayoona sahihi
We km kitu hukiwezi wala usiwafanye wengine hawaweziMm sio mnafiki kama nyie
Huo mtego singii nasikia Wamefunga barabaraTembea nayo tu hakuna shida
Propaganda.Ahh wanajeshi wamekuja kutunyoosha huku Manzese tulikuwa tumekaa kikundi kusikilizia watu, muda huu ni mabomu tuu
Usipangie watu mpango kazi, hii ni kazi ya Jeshi na vyomboHii sasa ndio mbaya mtasababisha polisi waanze kupiga watu,. Hapa waandamanaji mmezingua
Kauli za kinafikiNatamani ningekuwa DAR
LAZIMA NINGEKIWASHA TU.
Hawa ndo wale kipindi cha ukoloni walikuwa upande wa wakoloniWe km kitu hukiwezi wala usiwafanye wengine hawawezi
Wala usiwasemee wengine au juwavunja koyo
Acha kila mtu afuate njia yake anayoona sahihi
Safi sanaHii sasa ndio mbaya mtasababisha polisi waanze kupiga watu,. Hapa waandamanaji mmezingua
Endelea kusema n propaganda ila this is happeningPropaganda.
Leo mimi ndio ninaongoza Kikosi cha Askari, kuhakikisha Raia wanapaza Sauti zao...
Haya ngoja tuone kwanzaUsipangie watu mpango kazi, hii ni kazi ya Jeshi na vyombo
wamepigwa hatari .Endelea kusema n propaganda ila this is happening
Wewe ni chawa kaa kimya subiri show iisheKauli za kinafiki
Safi sana, hawa sio wale wapiga kelele onlineWananchi wakivunja kituo cha kupigia kura
View attachment 3495715