Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mabomu ya Machozi yanasikika kupigwa kwa wingi kutoka Mitaa ya Ubungo.
View attachment 3495627
Mapema waandamanaji wameanza kujikusanya maeneo ubungo Dar Es Salaam
View attachment 3495628
Hali ilivyo asubuhi katika baadhi ya Barabara za Jiji la Dar es salaam
View attachment 3495630
View attachment 3495638
Kutoka Mbezi watu wanaitwa kuandamana
View attachment 3495644
Kutoka Ubungo wanaitana
View attachment 3495649
Wnananchi wakishangilia gari la Jeshi la Wananchi
View attachment 3495660
View attachment 3495671
Hali ilivyo Tunduma
View attachment 3495709
View attachment 3495711
Kituo cha kupiga kura kimeondoka hapo Gen-Z on fire
View attachment 3495718
View attachment 3495718
View attachment 3495716
View attachment 3495722
Kituo cha Mwendokasi kimechomwa moto waandamanaji, maeneo ya Ubungo
View attachment 3495725
View attachment 3495730
View attachment 3495750
Milio ya RISASI inasikika kuwatawanya Raia hapo nasikia mmoja amepigwa ya mguu. Saa 12:20 Mchana
View attachment 3495757
Kutoka Tunduma Gari la Polis limechomwa Moto, majira ya saa 6 mchana
View attachment 3495758
Kutoka Ubungo moto mkubwa ukielekea Sheli ya Mafuta
View attachment 3495768
Kituo cha kupiga kura kimetelekezwa
View attachment 3495770
Mwanamanaji akiwa na wanajeshi raha tupu wala haguswi
View attachment 3495789
Kutoka Kimara
View attachment 3495791
Kutoka Ubungo External
Mistari ya wapiga kura nilipo mimi nimepita njian wasimamizi wanachat tu hakuna watu
Taarifa bila picha wala video ya kuwakosoa haijakamilikaKumeanza kuchangamka, Leo ni Leo wananchi wameanza kukiwasha Ubungo muda huu mataa kumejaa!!
Safari ya ukombozi inaenda kuanza
Mpaka jioni maelfu watakua wametoka[emoji91][emoji91]
😂Mpaka jioni maelfu watakua wametoka[emoji91][emoji91]
Kumbe unahangaika hivi kukatisha watu tamaa? Ungekuwa na akili ungetumia energy hiyo kutafuta pesa.Upo sahihi mkuu, watu wanaandamna online sio poa 🙌 lazima mama aachie nchi leo leo kabla ya saa 12 jioni