Mikoa ya Tanzania ipi !!Kwakweli Mikoa yote Tanzania Michafu.. na hii ni kutokana na Rais kuwaruhusu machinga kufanya biashara popote... Miji yote Tz ni kama jalala
Unapajua Prague๐ ๐hongera zetu mazeee dah..utadhani ni kuleee prague kwa mabeberuu!!
hongera pia kwa mzee kenyatta kwa kuwadhibiti waswahili kuleee mipakani maaana dah sipati picha kungekuwa vpeeee!๐
Huko pia wanaletewa maendeleo. Wanawekewa maji safi, choo nzuri na barabara inapanuliwa.Km 5 kutoka hapo city center kuna Slum kubwa ya kibera,hebu sema pale unaezaje kupaweka safi?slum lenyewe ni km dampo.