Picha: Nairobi panazidi kunoga, tukuone ukitupa taka na kutuchafulia mji

Picha: Nairobi panazidi kunoga, tukuone ukitupa taka na kutuchafulia mji

Kamji kadogo kama pilitoni lakini kamewashinda kukaweka safi. Yaani vitu vidogo kama hivyo mnashangiria hahaha
Wanako ishi Wakenya Halisi sasa wamegeuzwa Mbuga za Kitalii. Wazungu wanakuja kushangaa!!
Umeongea ukweli mtupu. Ukifika Nairobi katikati ya mji ukaona palivyo, halafu ukitoka nje kidogo kwenye mitaa yao ya 'mabanda', dah! hali ni taabani hutaamini kama bado uko Nairobi.

Mimi sio mzungu ila nilishangaa sana. Hakika ni mabanda maana huwezi amini kama binadamu anaweza kuishi huko.
 
Si huaga tunawaambia hapa, ukitoka city center kwngine kote ni uswazi kuruka
Screenshot_20200705-035257.png
Screenshot_20200705-035043.png
Screenshot_20200705-034757.png
 
Umeongea ukweli mtupu..ukifika Nairobi katikati ya mji ukaona palivyo, halafu ukitoka nje kidogo kwenye mitaa yao ya 'mabanda' dah..! hali ni taabani hutaamini kama bado uko Nairobi.
Mimi sio mzungu ila nilishangaa sana. Hakika ni mabanda maana huwezi amini kama binadamu anaweza kuishi huko.
Wewe hujawahi toka Nje ya Tanzagiza.
 
Lakini majirani mmezidi kwa ushamba kha! Mnakwama wapi? Hizi rangi black white yellow kama kituo cha polisi au magereza duh! Mji wenu una sura nzito. Hongereni kwa kugundua umuhimu wa usafi sasa.
 
Lakini majirani mmezidi kwa ushamba kha! Mnakwama wapi?
Hizi rangi black white yellow kama kituo cha polisi au magereza duh! Mji wenu una sura nzito. Hongereni kwa kugundua umuhimu wa usafi sasa
hata nguruwe hupenda usafi lakini sio asili yake.
 
Umeongea ukweli mtupu..ukifika Nairobi katikati ya mji ukaona palivyo, halafu ukitoka nje kidogo kwenye mitaa yao ya 'mabanda' dah..! hali ni taabani hutaamini kama bado uko Nairobi.
Mimi sio mzungu ila nilishangaa sana. Hakika ni mabanda maana huwezi amini kama binadamu anaweza kuishi huko.
Acha uwongo. Hii ni moja ya video ya mitaa ya nairobi ambayo iko nje ya cbd. Watch it carefully and learn from it

 
Wewe hujawahi toka Nje ya Tanzagiza.
Tuchukulie ni sawa sijawahi kutoka nje ya Tz, ila issue hapa ni nyie kulala kwenye mabanda ya mabati kama kuku katika jiji kubwa kama Nairobi inatia aibu kabisa.
 
Halafu omba omba wale wa kutoka kwa nchi jirani hivi wamepelekwa wapi maana sidhani kwa hali kama hii watapata nafasi.

nairobi%20streets.webp

nairobi%20streetss.JPG

NMS.jpg
As the Nairobi Metropolitan Services (NMS) under Director-General Mohamed Badi embarked to rehabilitate Nairobi streets, certain improvements are visible in the Central Business District (CBD).

In its 100-day plan, the focus was on a number of roads in the CBD refurbished to be more inclusive of cyclists and pedestrians.

A few examples include Kenyatta Avenue and Wabera Street which have seen the parking spots converted to bicycle lanes and pedestrian walkways.

New Look of Refurbished Nairobi Streets by NMS [PHOTOS]
Lete na picha ya mabanda Kibera!
 
Nakuru imezidi Dar kwa barabara
View attachment 1498522
Naona mmekimbia dar vs Nairobi [emoji23][emoji23]sasa mmekuja huku kujifariji na hiyo picha mbovu ya sijui flyover ama ni takataka gani.

Nimeona na injinia Levi katia like baada ya kupendezwa na hiyo flyover feki iliyo pinda pinda ,hivi wakenya mnayo macho kweli.
 
Naona mmekimbia dar vs Nairobi [emoji23][emoji23]sasa mmekuja huku kujifariji na hiyo picha mbovu ya sijui flyover ama ni takataka gani

Nimeona na injinia Levi katia like baada ya kupendezwa na hiyo flyover feki iliyo pinda pinda ,hivi wakenya mnayo macho kweli
Wivu ndio inakuleta Kenyan news and politics yani Hadi unaamka usiku wa manane kujibishana na Wakenya 🤔. Any flyover nje ya Dar?
 
Wivu ndio inakuleta Kenyan news and politics yani Hadi unaamka usiku wa manane kujibishana na Wakenya [emoji848]. Any flyover nje ya Dar?
Usiku wa manane! Kwani sisi tupo lockdown, wenzako tunapiga kazi usiku na mchana.
 
Back
Top Bottom