Picha: Nairobi panazidi kunoga, tukuone ukitupa taka na kutuchafulia mji

Huko pia wanaletewa maendeleo. Wanawekewa maji safi, choo nzuri na barabara inapanuliwa.
Hiyo ni ndoto ya mda mrefu. Ni ngumu sana kuwezekana na serkali ya kifisadi ya Kenya.
 
Hiyo ni ndoto ya mda mrefu..ni ngumu sana kuwezekana na serkali ya kifisadi ya Kunya/Kenya.
Mwanajeshi ndiye anayefanya haya maendeleo. Hao wamefanyiwa drills hadi wamekuwa kama robot. Wakipewa order wanatekeleza bila maswali. Hakuna cha rushwa wala nini. Hio ndio uzuri wa wananeshi, yaani discipline mwanzo hadi mwisho. Akina Gavana sonko wametupwa kwenye dampo, wakae kando watazame jinsi kazi inavyofanywa kijeshi.
 
Sawa malizeni kazi ndo mje kushindana na Dar.
 
MK254,

All the way from Nairopori a.k.a slums city in republic of kunyaland, nasema hivi kupamba hivi vibarabara vyetu ni sawa na mwanamke anayetumia mkorogo utamkuta usoni kangaa lakini sehemu nyingine za mwili anatia kinyaa, the same na Nairopori yahani zile slums zetu kwa kweli zinatia kinyaa hadi aibu
 
How many bilions zimetukima hapo..

Hii inaitwa jeuri ya kuwa middle-class, kwa sasa hamuwezi kuijua maana ndio mumekaribishwa kwenye kundi la wanaume kamili japo mahesabu yenu yapo kwenye mpakani, hayajakaa sawa ili muheshimike.
 
Hongereni sana kwa kuanza kuwa wasafi, ila naona uko desperate sana na Wabongo, maana hata kwenye vitu ambavyo haviwahusu lazima uwataje...
Aaah! Kumbe unashuku omba omba wenu wako Kenya πŸ˜‰
 
Kwa hiyo ndio saiv nairobi imepata pavements kwenye njia za waenda kwa miguu!? Duh ml;ichelewa wapi bandugu?
 
Kwa hiyo ndio saiv nairobi imepata pavements kwenye njia za waenda kwa miguu!? Duh ml;ichelewa wapi bandugu?
Unaweka picha sio kupayuka
CBD yenu kwa zile nyumba 3 Yani hapo ndio Dar es Slum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…