Picha: Nairobi panazidi kunoga, tukuone ukitupa taka na kutuchafulia mji

Nilitaka nishangae hii post isiwe na chokochoko kwa Watanzania. Yani hawa jamaa sijui wakilalala wanatuota? [emoji23][emoji23]
 
Hata mimi nimeshangaa [emoji23]majirani wanavituko
my friend wewe ndio uko na vituko..is this the city of dar that una praise..nairobi is better than dar es salaam kindly go through this videos of dar ,,tushajua na hizo vijumba vyenu za kiswahili..hamna tofauti na watu wa mombasa even when it come to housing hamna tofauti
 
Bila maji ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu!
 

Mwambie Freedom asisahau na kibera kabla za covid hazijaisha
 
Hapo ndio ujue kwanini JPM hupenda kuweka wanajeshi kwenye maeneo nyeti...
 
Mana majivuno sana lakini mna dhiki sana,tukiwafungia mipaka full kulialia tu,cgezea njaaa,asisi huku Tanzania hata tukijifungia tunachakula cha kutosha sana
 
Kamji kadogo kama pilitoni lakini kamewashinda kukaweka safi
Yaani vitu vidogo kama hivyo mnashangiria hahaha
Wanako ishi Wakenya Halisi sasa wamegeuzwa Mbuga za Kitalii
Wazungu wanakuja kushangaa!!
Kale kanairobi kadogo yaani sijui kakoje,planning ilikuwa mbaya yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…