Picha: Nairobi panazidi kunoga, tukuone ukitupa taka na kutuchafulia mji

Kwann Kenya huwa mnapenda sana kuilink Tz kwenye maendeleo yenu?

Kenya ni kama mtoto mzuriiii mwenye kipato na ajira nzuri anayempenda mnyamwezi Tanzania, Jabali lenye kipato cha chini kidogo ila mnyamwezi hasa. sasa Kenya hawezi kufanya kitu bila kujipitisha kwa Tanzania na kuonyesha, ilimradi tu amtaje taje, Tz amuone amsemeshe.
 
Wanashangaa Askofu gani huyu ana majungu au wa makanisa ya ufufuo.
Haha! Wenye majungu ni wewe na wenzako ambao mnaacha hoja ya msingi na kurukia mambo yasiyowahusu. Shame on you! BTW, hiyo Loftins ni aina ya mkate?
 
Lazima Muone Ju ni Jamii Forums.
 
Mikoa ya Tanzania ipi !!
Labda hujui Tanzania na Hujui lipi unaongelea
Tanzania ilisha kuwa mpya Acha kuota

Hamna kitu hapo, ni less than a half kilomiter, haina tija kijisifu hii. I have been at the place sio kwa kuangalia kwa clip.
 
Picha kama hii kwetu inaezakua githurai,umoja na akina ruaka
nikupe picha kama hii nairobi uone inapitia mpaka mbuga ya wanyama kule nje ya mji[emoji16][emoji16][emoji16].
 
Hii inaitwa jeuri ya kuwa middle-class, kwa sasa hamuwezi kuijua maana ndio mumekaribishwa kwenye kundi la wanaume kamili japo mahesabu yenu yapo kwenye mpakani, hayajakaa sawa ili muheshimike.
Askali anaye pandishwa cheo wakati wa vita ni tofauti na yule aliye pata vyeo kabla ya vita ,tz tumeingia uchumi wa kati wakati wa vita ya covid ilitegemewa wakati wa covid uchumi wa nchi kuporomoka kama Kenya mnaelekea kuanguka kutoka MIC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…