Picha: Nairobi panazidi kunoga, tukuone ukitupa taka na kutuchafulia mji

Kamji kadogo kama pilitoni lakini kamewashinda kukaweka safi. Yaani vitu vidogo kama hivyo mnashangiria hahaha
Wanako ishi Wakenya Halisi sasa wamegeuzwa Mbuga za Kitalii. Wazungu wanakuja kushangaa!!
Umeongea ukweli mtupu. Ukifika Nairobi katikati ya mji ukaona palivyo, halafu ukitoka nje kidogo kwenye mitaa yao ya 'mabanda', dah! hali ni taabani hutaamini kama bado uko Nairobi.

Mimi sio mzungu ila nilishangaa sana. Hakika ni mabanda maana huwezi amini kama binadamu anaweza kuishi huko.
 
Wewe hujawahi toka Nje ya Tanzagiza.
 
Lakini majirani mmezidi kwa ushamba kha! Mnakwama wapi? Hizi rangi black white yellow kama kituo cha polisi au magereza duh! Mji wenu una sura nzito. Hongereni kwa kugundua umuhimu wa usafi sasa.
 
Lakini majirani mmezidi kwa ushamba kha! Mnakwama wapi?
Hizi rangi black white yellow kama kituo cha polisi au magereza duh! Mji wenu una sura nzito. Hongereni kwa kugundua umuhimu wa usafi sasa
hata nguruwe hupenda usafi lakini sio asili yake.
 
Acha uwongo. Hii ni moja ya video ya mitaa ya nairobi ambayo iko nje ya cbd. Watch it carefully and learn from it

 
Wewe hujawahi toka Nje ya Tanzagiza.
Tuchukulie ni sawa sijawahi kutoka nje ya Tz, ila issue hapa ni nyie kulala kwenye mabanda ya mabati kama kuku katika jiji kubwa kama Nairobi inatia aibu kabisa.
 
Lete na picha ya mabanda Kibera!
 
Nakuru imezidi Dar kwa barabara
View attachment 1498522
Naona mmekimbia dar vs Nairobi [emoji23][emoji23]sasa mmekuja huku kujifariji na hiyo picha mbovu ya sijui flyover ama ni takataka gani.

Nimeona na injinia Levi katia like baada ya kupendezwa na hiyo flyover feki iliyo pinda pinda ,hivi wakenya mnayo macho kweli.
 
Wivu ndio inakuleta Kenyan news and politics yani Hadi unaamka usiku wa manane kujibishana na Wakenya 🤔. Any flyover nje ya Dar?
 
Wivu ndio inakuleta Kenyan news and politics yani Hadi unaamka usiku wa manane kujibishana na Wakenya [emoji848]. Any flyover nje ya Dar?
Usiku wa manane! Kwani sisi tupo lockdown, wenzako tunapiga kazi usiku na mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…