Si hizi ndio nguo anazaaga sasa za kiraia vipi kwani lini alikuwa na gwanda?
Hata suti ni ya kiraiaTangu lini mwanasiasa wa Tanzania anaenda kukutana na wananchi anavaa mkofia wa kushona kwa mkono na track suits za mazoezi?
Yaani Nape ni wa kukutana na wananchi na ma Tshirt ya Foma Gold?
Naelewa mkuu ila hapo kwenye wali wangetia hata maharage na matembele ya kutosha kuboresha lishe.Uchaguzi umekaribia.
Mkuu ni 2025 hii. Muda wa publicity huuKwa hiyo anaamini hayo ndo mahitaji ya Wananchi?
But who cares afya ya mpiga kura? kwasababu anachokifanya ni maigizo at the end of the day ni wizi wa kura au kama yeye anavyoita "goli la mkono"Naelewa mkuu ila hapo kwenye wali wangetia hata maharage na matembele ya kutosha kuboresha lishe.
Mkuu bongo tunakula kwa ajili ya ladha. Mambo ya nutrients ni wachache wanajali ndio maana tunabugia ubuyu na kutafuna kashata Ila faida yake mwilini hatuijui zaidi ya kufurahisha mdomo na kuendeleza mifumo ya maisha tuliyoikutaNaelewa mkuu ila hapo kwenye wali wangetia hata maharage na matembele ya kutosha kuboresha lishe.
Ongeza na mafukara, ambao ubwabwa kwao ni chakula cha anasahaya mambo yanafanywa kwenye nchi iliyo jaa wajinga pekee
Sema ndo hivyo tu humu jukwaaani mtu alichukiwa basi inakuwa nongwa; maelezo hayajitoshelezi kuwa alikuwa ana shughuli gani? Kwamba imesemwa wapi kuwa amepeleka mchele? Je, kama ye ndo amekaribishwa tu?
Kwa taarifa yenu, kwa aliyoyafanya huko tangu awe mbunge hakuna hata wa kumtoa........hayo maji, umeme na afya amefanya kweli vijiji vingi tu.
KwakweliAndaa popcorns na bando la kutosha!
Kuna makumi ya vijiji mtama, vp umehangaika na kamoja tu hako?!!! Nakushauri tembelea vijiji vingine, hususani vile vya njia ya tandahimba (eg lindwandwali, chiuta, Mandwanga, lipome, nahukahuka, litipu, nyangamara, mbindo, mandwangwa, mnyambe n.k) halafu uje hapa baada ya kujua vilivyokuwa kabla na baada (yaani Sasa)