Kwani umesikia wananzania wana mahitaji yoyote? Tanzania sasa hivi ndiyo nchi pekee ambayo ssrikali yake, imamaliza mambo yote muhimu na ndiyo maana kilichobaki sasa hivi ni kumsifu rais.Kwa hiyo anaamini hayo ndo mahitaji ya Wananchi?
Ubabaishaji na usanii mtupu. Mbona siku zote hakufanya haya?Wakuu,
Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.
Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana
Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa kisha unapiga picha nao basi. Mwisho wa siku wanakupa kura.
Hii ni script ya CCM tangu tupate uhuru mwaka 1961.
Hawa ndio CCM sasa bwana, watu wanataka maji safi na vifaa tiba wenyewe wanapeleka ubwabwa!
Ndio maana simuoni jukwaaniWakuu,

Yasingekuwa mahitaji yao wangelikuja kula? Si angebaki peke yake na ubwabwa wake?Kwa hiyo anaamini hayo ndo mahitaji ya Wananchi?
[emoji23][emoji23] Sazingine mtu ukifanya maigizo inabidi kuchagua mazingira na angalau watu mtakaoendananao angalau kwa muonekano.Wakuu,
Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.
Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana
Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa kisha unapiga picha nao basi. Mwisho wa siku wanakupa kura.
Hii ni script ya CCM tangu tupate uhuru mwaka 1961.
Hawa ndio CCM sasa bwana, watu wanataka maji safi na vifaa tiba wenyewe wanapeleka ubwabwa!
Kwani Nape ni mwanajeshi Hadi useme amevaa nguo za kiraia?Wakuu,
Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.
Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana
Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa kisha unapiga picha nao basi. Mwisho wa siku wanakupa kura.
Hii ni script ya CCM tangu tupate uhuru mwaka 1961.
Hawa ndio CCM sasa bwana, watu wanataka maji safi na vifaa tiba wenyewe wanapeleka ubwabwa!
Kwani Nape sio raia?Wakuu,

Nape toka akiwa mwenezi namfaham, yeye anapenda casual Sana,jeans na hizi form six...acheni kuropoka ropoka tu.Tangu lini mwanasiasa wa Tanzania anaenda kukutana na wananchi anavaa mkofia wa kushona kwa mkono na track suits za mazoezi?
Yaani Nape ni wa kukutana na wananchi na ma Tshirt ya Foma Gold?
huo ndio ukomo wa uelewa wake.Kwa hiyo anaamini hayo ndo mahitaji ya Wananchi?
Kabisa kama upo CCM watz Wengi wanependa wali na t-shirt tu na tu NYIMBO nyimboKwa hiyo anaamini hayo ndo mahitaji ya Wananchi?